Nipokeeni uwanja wa ndege kwa wale Dar natoka Uingereza kimasomo

Wa kutoka UK anasema I have got????????


Kweli bado tuna kazi pevu.

Rais wangu endelea kutumia kiswahili tu, hakuna namna.


Ningekusahihisha kwa mengi lakini ngoja niishie hapo tu nisipoteze muda.
Ebu irekebishe mkuu manake mm naiona sahihi
 
Nikiconnect Uzi huu na ule Uzi mwingine wa Division three ya kata na Feza halafu nikaangalia content ya kilichoandikwa plus kizungu cha Obi wa No Longer At Ease nikapata jibu
 
i dicided to journey Tanzani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji6]
 
ungebaki huko huko.ndg
 
Ungekuwa demu mwanangu majitu yangekuja KUKUPOKEA lkn ni he?no one will appear unless your close friend
 
please uje siku ambayo hakuna mvua, airport yetu inavuja..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…