Nipokeeni

Nipokeeni

JEKI

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2013
Posts
4,845
Reaction score
2,957
Chelewa ufike, hatimaye nimeamua kujiunga na JF baada ya tafakari ya kipindi kirefu. Nimekuja kuchapa kazi, hivyo nipokeeni kwa mikono miwili.
 
Haya, tunangoja kuona uchapaji kazi wako!
 
Chelewa ufike, hatimaye nimeamua kujiunga na JF baada ya tafakari ya kipindi kirefu. Nimekuja kuchapa kazi, hivyo nipokeeni kwa mikono miwili.

Karibu sana JF...
 
athante happiness, ngoja kwanza nikae kibarazani nikitafakari niingieje chumbani, ugeni bado, siyo vizuri unafika tu na kuingia chumbani.
 
Karibu sana usisahau kuvaa pampasi maana wewe bado ni mdogo!
Chelewa ufike, hatimaye nimeamua kujiunga na JF baada ya tafakari ya kipindi kirefu. Nimekuja kuchapa kazi, hivyo nipokeeni kwa mikono miwili.
 
athante happiness, ngoja kwanza nikae kibarazani nikitafakari niingieje chumbani, ugeni bado, siyo vizuri unafika tu na kuingia chumbani.

Umepitia sheria na kanuni za JF? Pita ndani utulie.
 
Back
Top Bottom