Nipokeni naingia jamani

Nipokeni naingia jamani

Karibu Binti Na Mimi Ndio Mwenyeji Wako Wa Kwanza Usikose Kuni Pm Unapokuwa Unahitaji Chochote Jisikie Uko Nyumbani Cathe
 
Jamani nawashukuru sana wote kwa kunipokea,
Mungu awabariki sana, na tuishi kwa amani
 
karibu sana,tena unabahati ya mtende kuombwa namba siku ya kwanza,dalili nzuri hiyo.
 
Back
Top Bottom