Prodigy Oligarchy
JF-Expert Member
- Mar 21, 2020
- 571
- 653
Ndugu Mayunga234
Nakusalimu, Mimi ninaweza kuwa tofauti kidogo na mtazamo wako.
Ulichoandika , umeongelea upande mmoja tuu wa hawa jamaa ( bodaboda ) kana kwamba sisi wenye magari ni malaika
Sio kweli kwamba hawa jamaa wote ni wezi , sio kweli hawa jamaa kwamba wote ndio wasababishi wa ajali za mara kwa mara kana kwamba wao hawadhuriki.
Ni ajali ngapi zinasababishwa na sisi wenyewe wenye magari?
Kumbuka, hawa jamaa wengine kupitia hizo pikipiki wanasomesha watoto wao na kuendesha maisha yao ya kila siku.
Itoshe tu kutoa taarifa, lakini sio kushangilia kwa kuwakandia, jamaa kuna sehemu wanasaidia sana mfano kuwahi makazini asubuhi ( kukwepa foleni ) n.k
Sio jambo zuri kuwakandia kiasi hiki, ni watu wanao tafuta ridhiki zao za kila siku kama ilivyo wewe na Mimi.