Nipongezeni, Kaizer is officially a GOLD member!

Nipongezeni, Kaizer is officially a GOLD member!

kama sosoliso hahusiki poa kabisa umetuondolea liability

Yaani Kaizer mmetununulisha mayutong mabovu kwa ajili ya Obama pesa ndo mnakuja kuturingishia kwa my waifu wetu hapa..! Na huyu mai waifu Paloma anataka kuchanganywa na mahela ya kifisadi..! Subirini Obama aondoke..
 
Last edited by a moderator:
Hebu nipeni faida za kuwa Gold member ...!!! Ili na mimi ikiwezekana ni Mpesa muda huu....
 
Hongera mkuu....ila kumbuka good things never last......enjoy the moments...
 
Nitafanya pale tu ubaguzi utakapopungua JF. Kuna watu hata watukane vipi hawapewi ban, kuna watu hata waposti nini kitaachwa ila wale unknowns kitafutwa mara moja au kupewa ban mara moja......haya yakiisha nitakuwa tanzanite member na sio gold
 
Nitafanya pale tu ubaguzi utakapopungua JF. Kuna watu hata watukane vipi hawapewi ban, kuna watu hata waposti nini kitaachwa ila wale unknowns kitafutwa mara moja au kupewa ban mara moja......haya yakiisha nitakuwa tanzaniate member na sio gold

Hebu come kwa PM labda kuna mazito zaidi ya haya Mrembo by Nature?
 
Last edited by a moderator:
Nitafanya pale tu ubaguzi utakapopungua JF. Kuna watu hata watukane vipi hawapewi ban, kuna watu hata waposti nini kitaachwa ila wale unknowns kitafutwa mara moja au kupewa ban mara moja......haya yakiisha nitakuwa tanzaniate member na sio gold

ur so right...hata mimi nitakuwa Ruby member.......
 
hongera sana!!! sasa castle light wapi leo??
mie nna aleji na gold! so ntafanya mpango kibandikwe cha platinum kabisaaaa....

Kama bishanga sio? Nikulipie? Utanipa nin Paloma nikikulipia?
 
Last edited by a moderator:
^^
Waoo! Kumbe easy,,ngoja niongee na mama watoto,,
Thanks & Congrts Kaizer
^^
 
Last edited by a moderator:
^^
Waoo! Kumbe easy,,ngoja...
Thanks & Congrts Kaizer
^^
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom