Nipongezeni, Kaizer is officially a GOLD member!

Likitolewa lile tangazo la beer linalochomoza kila tunapoingia JF siku hizi, ntachangia. Kama lipo basi linatosha kabisa kutulipia wote kuwa gold members na zaidi, maana ukitaka usitake utalibofya tu.
 
aisee zomba umenichekesha sana ngoja niwahi kibanda umiza nizimue...hivi unajua wanatoa mpunga kiasi gani? vipi kuhusu verified users kuchangia zaidi?
 
Last edited by a moderator:

hongera
 
Hongera Kaizer wengine tuache ubahili.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…