Nipongezeni, Kaizer is officially a GOLD member!

Nipongezeni, Kaizer is officially a GOLD member!

Kaizer

Platinum Member
Joined
Sep 16, 2008
Posts
25,324
Reaction score
17,846
haya haya haya wana CC wote,

waliooa na wasiooa, wenye masuria na maSACCOS, mabachelor wazoefu na waviziaji, kina dada/mama wote mliopo humu

habari ya mujini ni kwamba sasa mimi Kaizer nimemove from a 'normal premium member' to a "golden Member" nadhani mnaona hapo pembeni ya avatar yangu, samahani kwa wale wasiokamatia kinywaji!

Sasa basi kama wana Chit chat hebu tujitahidi wala na siye kuappreciate hizi services za JF zikiratibiwa na Maxence Melo na Mike McKee kama mafounder.

Kupata iyo makitu ni elf 30 tuna kulipia ni veeeeery easy.............. Contact Mods

jamani kwa wale ambao bado please do the needful mniunge mkono: habari hizi ziwafikie wana cc wote bila kujali jinsia

CC Arushaone Filipo Arabela Madame B Heaven on earth amu watu8 Paloma Mtambuzi Slave Baba V YNNAH Mamndenyi King'asti figganigga HorsePower Jiwe Linaloishi Kipaji Halisi BADILI TABIA Asnam KakaKiiza Bazazi mzabzab sakapal Double K mimisa miss strong Graca Nivea Himidini Bishanga The secretary manoah Chimbuvu charminglady Nicas Mtei Asprin RR MwanajamiiOne Mzee wa Rula KOKUTONA Mr Rocky Dena Amsi ladyfurahia Katavi mshana jr Mtoto halali na hela manoah Zahra White Mphamvu zubedayo_mchuzi maishapopote Mentor Boflo AshaDii gfsonwin cacico BADILI TABIA Mzizi mkavu Mwita Maranya mwananthropolojia Ruttashobolwa Lady doctor Passion Lady Buswelu Bujibuji Evelyn Salt Chocs chama zomba Ritz Rejao HYGEIA Kaunga FP snowhite

Na wengineo wote. tusaidiane kwenye hii kampeni...hebu jiangalie avatar yako..je, ina kibandiko cha dhahabu kwa pembeni? kama haina, huu ndio wakati wa ku do ze nidiful

BCC: Mwali, Invisible Mike McKee
 
hongera sana!!! sasa castle light wapi leo??
mie nna aleji na gold! so ntafanya mpango kibandikwe cha platinum kabisaaaa....
 
hongera sana!!! sasa castle light wapi leo??
mie nna aleji na gold! so ntafanya mpango kibandikwe cha platinum kabisaaaa....

hahahaa leo iyo makitu ni "pale pale" sio hatuna makesheshe ya Obama......come zis way..... (hii asiione amu patachimbika)

Hapo bold Paloma.......timeline?
 
Last edited by a moderator:
hongera sana bestito tutafuata nyayo zako ondoa shaka kwa hilo Kaizer

je utakuwepo kwenye tamasha la furaha music award na je nikulist kwenye list ya wale watakaowania tuzo ya mshindi siku hiyo tarehe 6 july? sema basi niweke hapa kwani tunahakiki sasa majina na nyimbo ukitaka kutuma wimbo wako niPM ili walimu na majaji waanze kazi yao fanya sasa ujachelewa
 
Last edited by a moderator:
Dah! Hongera sana m baba...hiyo ndo SMART PARTNERSHIP inayotakiwa...Bravo Kaizer! I will be the next.
 
Last edited by a moderator:
hongera sana bestito tutafuata nyayo zako ondoa shaka kwa hilo Kaizer

je utakuwepo kwenye tamasha la furaha music award na je nikulist kwenye list ya wale watakaowania tuzo ya mshindi siku hiyo tarehe 6 july? sema basi niweke hapa kwani tunahakiki sasa majina na nyimbo ukitaka kutuma wimbo wako niPM ili walimu na majaji waanze kazi yao fanya sasa ujachelewa

haa mi tena nisiwepo? lazma nipo na nitaperfom kabisa ladyfurahia
 
Last edited by a moderator:
hahahaa leo iyo makitu ni "pale pale" sio hatuna makesheshe ya Obama......come zis way..... (hii asiione amu patachimbika)

Hapo bold Paloma.......timeline?

mie kimya
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom