Nipostpone mwaka au nisubiri nione mwisho wake?

Nipostpone mwaka au nisubiri nione mwisho wake?

QALLI MIZOH

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2014
Posts
2,075
Reaction score
698
Habari wakuu..!
Ni mgeni katika jukwaaa hili but ni mwenyeji katka JF. Nipo mwaka wa 3 B.A mass com.. nakabiliwa na wakati mgumu kama niendelee au niahirishe huu mwaka wa masomo kwani hadi sasa sijaandaa proposal kwa ajli ya research,field sijafanya pia ada imekuwa changamoto kwangu kwani,..vilevile registration ya annual ni kuanzia wiki hii..

Naombeni msaada kimawazo mana nipo :confused2:
 
Back
Top Bottom