Truly,Wana JF naombeni mnijuze. Mimi nina kaa na mdogo wangu. Kwa sasa hivi ananiambia maziwa yake japo hayajajaa sana ila nipples zake zinauma. Nimempima mimba kwa kutumia home testing kit hana. At the same time ana experience spotting period( i mean damu ya mwezi inatoka kdg kdg) kwa sasa siku 21 zimepita hiyo spotting bado ina exist. Nashindwa hata kuelewa. Hebu nisaidieni ndugu zanguni wana JF
Truly,
Huyu mdogo wako alishakuwa mwari kabla ya hali hii ya sasa?
kama alikuwa bado hajavunja ungo basi ndio anaingia sasa na pengine imeanza vibaya. Kama alikuwa tayari ni mwari kabla ni vyema umpeleke kwa daktari,mupate ushauri wa kitaalamu bila ya kumchelewesha.