Wana JF naombeni mnijuze. Mimi nina kaa na mdogo wangu. Kwa sasa hivi ananiambia maziwa yake japo hayajajaa sana ila nipples zake zinauma.
Nimempima mimba kwa kutumia home testing kit hana. At the same time ana experience spotting period( i mean damu ya mwezi inatoka kdg kdg) kwa sasa siku 21 zimepita hiyo spotting bado ina exist.
Nashindwa hata kuelewa. Hebu nisaidieni ndugu zanguni wana JF