Nipsey Hussle: Nyota ya Afrika Mashariki kutoka katikati ya magenge ya kihalifu na kuangaza katika sanaa ya Muziki wa kufoka foka (Hip Hop)

sasa kamuua halafu ndio anapata hizo pesa au!!!

akili za ngozi nyeusi zinan masizi siku zote,kama yule aliyemuua yule dogo mwingine wa kuitwa xtentation.
Halafu wazungu hawawagusi ni wao kwa wao
 
Huyi jamaa alikua na harakati za kuibadilisha jamii aliyokulia alikua akishirikiana na polisi kwenye maswala ya jamii sasa sijui shida ilikua ni wapi
labda washkaji walimuona kama snitch wakamtanguliza peponi
 
US kuna wanna-hip hop wazuri sana ila ndio huwasikiki ktk mainstream labda uwe unatembelea sana site zao huko za mziki wa hip hop.

Mimi huyu jamaa nimemjua baada ya kifo chake ila nimefuatilia kazi zake,zipo vizuri sana sio kama hawa akina Lil Uzi,Young thug nk yaani siwaheliwi kabisa.

Nakumbuka wakati Straight outta Compton album ya Dr Dree inatoka nilisikiliza yote,mule nika kutana na vichwa viwili Anderson paak na King Mez nilivielewa sana.

Nimekuja kugundua industry zote duniani zina siasa zake,hata hapa TZ marapper wanao pewa airtime wa kawaida sana,lkn ukiwasikiliza hawa wasio pewa airtime unakuja kugundua wana uwezo mkubwa sana.
 
Japo sura yake ya upole lakini
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…