Nipsey Hussle: Nyota ya Afrika Mashariki kutoka katikati ya magenge ya kihalifu na kuangaza katika sanaa ya Muziki wa kufoka foka (Hip Hop)

Nipsey Hussle: Nyota ya Afrika Mashariki kutoka katikati ya magenge ya kihalifu na kuangaza katika sanaa ya Muziki wa kufoka foka (Hip Hop)

Sorry asee...hivi Eritrea ipo Africa Mashariki??....Me napenda flow zake za Ku'relax,,ngoma ake nayoikubali ni Racks in the middle akiwa na The upcoming legend 'Roddy Ricch'
 
Huu msemo wake wake unanikoshaga sana.
RIP Nipsey[emoji174]
InShot_20220122_145723638.jpg
 
Baba mumarekani mweusi mama mu eritrea sasa katembelea vipi kijiji alichozaliwa babaaake [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom