Kiwango na malengo ya Elimu itolewayo ndo tofauti. Shuleni elimu inayotolewa ni kwa ajili kuzijua kanuni na nadharia kadhaa za masomo mbalimbali, ila chuoni hutolewa elimu yenye lengo la kuendelea kukuza nadharia za awali na kupanua maarifa zaidi kwa kuhusianisha hizo nadharia na vitendo. Kwa kifupi chuoni watu hujifunza kazi.