Nisahihi MTU kupiga picha na kuweka mapozi kwenye msiba

Hao wote wapumbavu hapo.

Mkapa yuko sahihi sana.
 
Kweli mkuu

the great
Wabheja sana Mkuu, Cendy .

Lazima tuwe na maadili ya Pamoja kama jamii yenye kuzingatia utu, hekima na busara.

Muendelezo ya Falsafa ya "Kila mtu na lwake" ilishapitwa na wakati siku nyingi.Hii si sahihi na chochote kile kisicho na mizizi ya kwetu si sahihi pia.

Tuige mambo ya msingi kwa wenzetu lakini mzizi na maudhui iwe ni ya hapa nyumbani.
 
Mkuu umeanzia mbali ungemuliza anajua neno picha

the great
 
Kweli mkuu

the great
 
Haujasema ni msiba wa nani vile?
Msiba si lazima uwe msiba realy, waweza kuwa ni mcba wa maigizo, ww ulitaka apozz vip?
 
Usahihi wa kitu uko kwa mtu mwenyewe na mtazamo wa mtu kuhusu tukio lenyewe...
Achana na relativism kila sehemu,angalia universality ndugu yangu.
 
Mbona pozi wamefanya ote wew umemuona tu lemutusi

Post sent using JamiiForums mobile app
 
najikuta nacheka tu,eti cjui lembebez,utasikia you know!hahahaahaaaaa
 
Wewe ni wale hamna cha kufanya bali kutaka kufatwa na kuonekana mmenena... sasa ukilouliza ni kituko pia cha karne na karne.

Fanya yako... yaani piga zako hata ukilia na kubamiza kichwa piga zako shaaaaaaaa

Wivu.com
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…