Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajua maana ya neno "Pozi"?.Mbona sioni mapozi hapo
Wabheja sana Mkuu, Cendy .Kweli mkuu
the great
Kweli mkuuWabheja sana Mkuu, Cendy .
Lazima tuwe na maadili ya Pamoja kama jamii yenye kuzingatia utu, hekima na busara.
Muendelezo ya Falsafa ya "Kila mtu na lwake" ilishapitwa na wakati siku nyingi.Hii si sahihi na chochote kile kisicho na mizizi ya kwetu si sahihi pia.
Tuige mambo ya msingi kwa wenzetu lakini mzizi na maudhui iwe ni ya hapa nyumbani.
We mhengaJinsi ulivyoishi ndivyo utakavyo zikwa
Sent from myself
Achana na relativism kila sehemu,angalia universality ndugu yangu.Usahihi wa kitu uko kwa mtu mwenyewe na mtazamo wa mtu kuhusu tukio lenyewe...
Jibu zuri sana mkuu hiliJinsi ulivyoishi ndivyo utakavyo zikwa
Sent from myself