Loading failed
JF-Expert Member
- Sep 14, 2023
- 2,603
- 7,501
Ni kweli wanawake wana huruma ila kuna wakati wanakua katili sana .
Je, nisahihi wanawake kutumia huruma zao ili kutimiza vitendo vyao vya kikatili dhidi ya kiumbe cha kiume ( mwanaume)
Nb: ili uelewe huu uzi angalia video clip kwa makini sana