Safety last
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 4,236
- 1,411
siku zote mtu anatakiwa ashauriwe ili kutatua tatizo lililopo mbele yake kuliko kumlaumu maana maji yamesha mwagika na nimeamua kuwa wazi kulileta tatizo langu humu jamvini ili kupata mawazo ya watu. maana kadiri siku zinavyokwenda binti ndo anazidi kuchanganykiwa. najitahidi kumsihi asimwambie mtu yoyote kwa sasa. nipe ushauri wa kunijenga kuliko kuzidi kunichanganya....
Kweli unahitaji mwanasheriai umetenda kosa la jinai linalojulikana kama incest, jitayarishe na mvua za kutosha.Mimi ni kijana wa kiume mwenye miaka 33,nilikuwa na mpenzi wangu alienizidi miaka miwili na ana mtoto wa kike wa miaka 19 sasa. Mapenzi yetu yalidumu kwa miaka 6 lakini kutokana na migongano ilokuwa ikitokea mara kwa mara hatukuweza kutambulishana kwa wazazi wetu hadi 2010 tulipoamua kuachana rasmi nami nikamruhusu aolewe kama ataamua kufanya hivyo.
Hivi ninavyoongea tayari ameshaolewa na anakaa huko kwa mume wake. Kila mtu hana kinyongo na mwenzake. Tatizo ni kuwa nimejikuta nimeingia kwenye mahusiano ya kimapenzi na yule binti yake ambaye wakati nipo na mama yake alikuwa ananiita UNCLE.
Nimekuwa nae kwa muda wa miezi 7 lakini kinachonitisha ni kwamba ana ujauzito ambao kwa mazingira naona ni kweli unaweza kuwa wakwangu. Kwa sasa mama yake bado hajajua maana ni mimba changa sana.
Je,mama yake akijua kuwa mhusika ni mimi, reaction yake itakuwaje? What will be my position before the eyes of the law?
Nampenda sana huyu binti na sitaki atoe mimba yangu.
Nishaurini tafadhari waungwana.
nashukuru kwa ushauri wako,nakubali kuwa na mimi ninayo portion ya kuwa blemed. pia ugomvi wangu na mama yake haukuwa unamhusu yeye hata kidogo. Pia,binti huyu mpaka naachana na mama yake sikuwa na wazo lolote la mapenzi na yeye. Nimekuwa nikimsupport kwa hali na mali toka akiwa primary hadi kamaliza F4. wala sijatake advantage ya udogo wake. ila ninachoomba,je endapo nikapata watu wazima nje ya wazazi wangu,maana kama nilivyoeleza mwanzo,hatukuwahi kutambulishana,japo walijua mahusiano (naogopa kupata aibu nyingine),wakaenda kumwomba akakubali kunisamehe nia yangu ni kumwoa kabisa binti na kuenda nae kuishi mbali na mkoa huu ili kuavoid interractions na mama yake. Hio imekaaje......?Uliruhusu ugomvi hadi kuachana na mama sababu ulimtamani mtoto wake, hapo huna la kukataa. Umekula kuku na mayai, hilo kimaadili halipo. Uwe mwangalifu na mahusiano hayo sababu hutakuwa na baraka za jamii, na kama zitakuwepo basi zitakuwa za kulazimishwa sana. Ndoa yenu kuwa na amani ya kweli inabidi msali sana maana hapo shetani hatawaacha hivihivi. Angalia mnaweza mpoteza mama mkwe/mpenzi wako wa zamani kwa pressure.
My take, tafuta watu wenye busara na wanaoelewana na mama mkwe wako wakamwambie ukweli. Hapo huna jinsi.
Dah, inamaana mkuu ulimvumilia dogo akikua toka akiwa na miaka 13? Ila ulitake advantage of her childhood na ignorance yake kwa mapenzi, na yeye akashindwa kukataa sababu ni uncle, I'm out.
how incest wakati mama yake sikufunga nae ndoa na wala sikuwahi kukaa nae officially nyumba moja kama mke na mume? yeye alikuwa na kwake namimi na kwangu, ilikuwa ni mahusiano ambayo yeye aliweza kuja kwangu for one or two days and vice versa. nielimishe mkuu.......!Kweli unahitaji mwanasheriai umetenda kosa la jinai linalojulikana kama incest, jitayarishe na mvua za kutosha.
Embu acha ujinga...yani uliyofanya hayatoshi unataka mpelekane kanisani/msikitini kabisa?!Kwa mawazo kama hayo naona kama utakua mgonjwa...unachotaka kufanya sio sawa kabisa!Sema kweli...omba msamaha...achana nae...lea mtoto na uendelee na maisha yako wakati mama na mwana wanatafuta namna ya kumaliza tofauti zao!!nashukuru kwa ushauri wako,nakubali kuwa na mimi ninayo portion ya kuwa blemed. pia ugomvi wangu na mama yake haukuwa unamhusu yeye hata kidogo. Pia,binti huyu mpaka naachana na mama yake sikuwa na wazo lolote la mapenzi na yeye. Nimekuwa nikimsupport kwa hali na mali toka akiwa primary hadi kamaliza F4. wala sijatake advantage ya udogo wake. ila ninachoomba,je endapo nikapata watu wazima nje ya wazazi wangu,maana kama nilivyoeleza mwanzo,hatukuwahi kutambulishana,japo walijua mahusiano (naogopa kupata aibu nyingine),wakaenda kumwomba akakubali kunisamehe nia yangu ni kumwoa kabisa binti na kuenda nae kuishi mbali na mkoa huu ili kuavoid interractions na mama yake. Hio imekaaje......?
nashukuru kwa ushauri wako,nakubali kuwa na mimi ninayo portion ya kuwa blemed. pia ugomvi wangu na mama yake haukuwa unamhusu yeye hata kidogo. Pia,binti huyu mpaka naachana na mama yake sikuwa na wazo lolote la mapenzi na yeye. Nimekuwa nikimsupport kwa hali na mali toka akiwa primary hadi kamaliza F4. wala sijatake advantage ya udogo wake. ila ninachoomba,je endapo nikapata watu wazima nje ya wazazi wangu,maana kama nilivyoeleza mwanzo,hatukuwahi kutambulishana,japo walijua mahusiano (naogopa kupata aibu nyingine),wakaenda kumwomba akakubali kunisamehe nia yangu ni kumwoa kabisa binti na kuenda nae kuishi mbali na mkoa huu ili kuavoid interractions na mama yake. Hio imekaaje......?
how incest wakati mama yake sikufunga nae ndoa na wala sikuwahi kukaa nae officially nyumba moja kama mke na mume? yeye alikuwa na kwake namimi na kwangu, ilikuwa ni mahusiano ambayo yeye aliweza kuja kwangu for one or two days and vice versa. nielimishe mkuu.......!
asante kaka kwa ushauri wako. maana hapa nilipo sijielewi kichwa kimepiga short ukizingatia baadhi ya waungwana wanalaumu zaidi kuliko kushauri. wakati maji yameshamwgika.....
how incest wakati mama yake sikufunga nae ndoa na wala sikuwahi kukaa nae officially nyumba moja kama mke na mume? yeye alikuwa na kwake namimi na kwangu, ilikuwa ni mahusiano ambayo yeye aliweza kuja kwangu for one or two days and vice versa. nielimishe mkuu.......!
nashukuru ndugu,nafanyia kazi ushauri wako.Dahhh kweli umechanganyikiwa
mpaka waniita kaka embu karekebishe kwanza..
sasa sikia binafsi siku saport kwa
kilichotokea lakini kwa kipande kingine nashukuru hayoko under 18..kilicho nisikitisha ni pale huyu angekuwa binti yako kama mambo yange enda sawa na mamake..
nway nakushauri sana tafuta wazee
wakusaidie na hil.
asante kwa kunijuza,kumbe soo lipo. mimi nilidhani kuwa ningehesabika kuwa step father endapo yule mama ya huyu binti angekuwa ni mke wangu either wa ndoa or by even by mutul/implied consert yetu kwa kuishi nae nyumba moja continuously. kumbe hata kutembea nae tu inahesabika ni step father... sheria ngumu kwelikweli. usichoke kuni update mkuu wangu ili nijapange sawasawa...Wewe ni step father and she is your stepdaughter. Concept ya uncle haipo kabisa in that situation.
samahani kwa kukuita kaka,kumbe ni dada AFRODENZI..!Dahhh kweli umechanganyikiwa
mpaka waniita kaka embu karekebishe kwanza..
sasa sikia binafsi siku saport kwa
kilichotokea lakini kwa kipande kingine nashukuru hayoko under 18..kilicho nisikitisha ni pale huyu angekuwa binti yako kama mambo yange enda sawa na mamake..
nway nakushauri sana tafuta wazee
wakusaidie na hil.