Uliruhusu ugomvi hadi kuachana na mama sababu ulimtamani mtoto wake, hapo huna la kukataa. Umekula kuku na mayai, hilo kimaadili halipo. Uwe mwangalifu na mahusiano hayo sababu hutakuwa na baraka za jamii, na kama zitakuwepo basi zitakuwa za kulazimishwa sana. Ndoa yenu kuwa na amani ya kweli inabidi msali sana maana hapo shetani hatawaacha hivihivi. Angalia mnaweza mpoteza mama mkwe/mpenzi wako wa zamani kwa pressure.
My take, tafuta watu wenye busara na wanaoelewana na mama mkwe wako wakamwambie ukweli. Hapo huna jinsi.
Dah, inamaana mkuu ulimvumilia dogo akikua toka akiwa na miaka 13? Ila ulitake advantage of her childhood na ignorance yake kwa mapenzi, na yeye akashindwa kukataa sababu ni uncle, I'm out.