ufumawicha
JF-Expert Member
- Mar 16, 2014
- 504
- 209
Mimi ni mwalimu wa sekondari, mkuu wangu wa shule amenipa barua kuwa hatanipa majukumu yoyote na anapanga kuniharibia kazi.
Nimemwona headmaster katika shule fulani amemwandikia barua mwalimu kuwa hapaswi kupendekezwa kwenye majukumu yoyote yale maisha yake yote.
Baada ya mwalimu huyo kumuomba ajiuzulu nafasi kadha alizompatia kutokana na kuingiliana kiutendaji.
Sheria za utumishi wa umma zinasemaje?
Kwani anatishia kumfukuza kazi.