Nisaidiaeni, wanataka kuniachisha kazi

Nisaidiaeni, wanataka kuniachisha kazi

ufumawicha

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2014
Posts
504
Reaction score
209
Mimi ni mwalimu wa sekondari, mkuu wangu wa shule amenipa barua kuwa hatanipa majukumu yoyote na anapanga kuniharibia kazi.

Nimemwona headmaster katika shule fulani amemwandikia barua mwalimu kuwa hapaswi kupendekezwa kwenye majukumu yoyote yale maisha yake yote.

Baada ya mwalimu huyo kumuomba ajiuzulu nafasi kadha alizompatia kutokana na kuingiliana kiutendaji.

Sheria za utumishi wa umma zinasemaje?

Kwani anatishia kumfukuza kazi.
 
Nimemwona headmaster katika shule fulani amemwandikia barua mwalimu kuwa hapaswi kupendekezwa kwenye majukumu yoyote yale maisha yake yote.

Baada ya mwalimu huyo kumuomba ajiuzulu nafasi kadha alizompatia kutokana na kuingiliana kiutendaji, sheria za utumishi wa umma zinasemaje?

Kwani anatishia kumfukuza kazi.
 
Majukumu yako ya kazi hupewi na mwalimu mkuu.

Soma barua yako ya ajira inayo maekezo ya unayopaswa kufanya(majukumu ya kazi).
Mkuu ni msimamizi tu wa utekelezaji wa majukumu shuleni.

Hana mandate ya kukufukuza hajakuajiri.

Acha woga mwalimu, jiamini fanya kazi uliyotumwa na mwajiri wako akikukwamisha mweleze mwajiri wako jinsi mkuu wako wa kituo ni kikwazo katika utekelezaji wa majukumu yako.
 
Back
Top Bottom