ufumawicha
JF-Expert Member
- Mar 16, 2014
- 504
- 209
Nimemwona headmaster katika shule fulani amemwandikia barua mwalimu kuwa hapaswi kupendekezwa kwenye majukumu yoyote yale maisha yake yote.
Baada ya mwalimu huyo kumuomba ajiuzulu nafasi kadha alizompatia kutokana na kuingiliana kiutendaji.
Sheria za utumishi wa umma zinasemaje?
Kwani anatishia kumfukuza kazi.