Nisaidie jamani

Nisaidie jamani

Wisdom youlth

Member
Joined
Sep 14, 2011
Posts
73
Reaction score
17
Ni kama week ya pili sasa tangu nitoke nyumbani TANZANI nakufika hapa LUSAKA ninajisikia homa kali kali nikajua ni maralia nimekunywa dawa Sp, bado najisikia vibaya mbaya zaidi miguu inakua inawaka moto kinywani najisikia uchungu nakosa choo ni week 2 sasa jamani naombeni msaada.
 
Back
Top Bottom