NISAIDIe kubadilika please

NISAIDIe kubadilika please

The only

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2011
Posts
10,805
Reaction score
14,181
ASLAM ALLEIKHUM WAHENGA !Asee katika maisha yangu naconfess nimewahi kuwa na ka uzuzu ka kufikili kumaliza mademu ni ujanja hivi karibuni
nimejikuta from no were nkitoka kazini duka la movie huyo home ,zamani daily ni baa nalala saa 8-10 asubuhi naika na hang over ,sasa nataka nitafute mchumba,nachoomba ni tips au namna ya kumpata mke mwema. Serious hii sihusishi kumendea JF chics.
 
Sijakusoma kabisa, hebu jipange vizuri kaka tukupe maushauri.
 
kaka hapo umechanganya madesa, kajipange tena...vinginevyo tutakupa dozi isiyo sahihi!!!
 
Kitendo cha kujitambua ni dalili tosha ya kubadilika. Hongera sana.
 
mke mwema hutoka kwa mungu! Na kama kweli umebadilika soon mungu atakupa wa kufanana na wewe.
 
Mimi nimekuelewa kaka na mke mwema ni mimi maana nimetoka kwa Mungu. Jipendekeze tu uone
 
Back
Top Bottom