Woga tupa kulee
JF-Expert Member
- Sep 4, 2012
- 1,752
- 1,311
Tuache porojo katika proffesional matters!
Prosecution ya rais/mtu yoyote ICC haiwezi kuwa initiated na mtu binafsi,hlo moja.
PILI,Ili mtu ashtakiwe ICC inabidi awe amefanya serious crimes against humanity kama mauaji ya kimbari na makosa ya kivita dhd ya ubinadamu,uvamizi wa nchi moja dhd ya nyingine without sensible reasons na makosa kama hayo!
Sasa watanzania ukimchukia JK tu au Slaa utataka apelekwe the Hague!