Nisaidie kujua hii design ya fascia board

Financial Analyst

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2017
Posts
1,849
Reaction score
3,506
Hivi ni kwamba fisha board ya kawaida ina chongwa hadi kuwa hivyo au kuna design maalum ya fisha board iko hivyo, au pvc board?


..
 
Hyo inaachongwa mashineni Kuna machine inadesign tofaut za urembo ndo unachagua then unatolewa mbao yenye ua husika ukilochagua
Ahsante, kwa hio huwa ni mbao ya kawaida ya fisha board inayochongwa kutokana na aina ya urembo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…