Financial Analyst
JF-Expert Member
- Nov 27, 2017
- 1,849
- 3,506
Hivi ni kwamba fisha board ya kawaida ina chongwa hadi kuwa hivyo au kuna design maalum ya fisha board iko hivyo, au pvc board?
..
..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hyo inaachongwa mashineni Kuna machine inadesign tofaut za urembo ndo unachagua then unatolewa mbao yenye ua husika ukilochaguaHivi ni kwamba fisha board ya kawaida ina chongwa hadi kuwa hivyo au kuna design maalum ya fisha board iko hivyo, au pvc board?
View attachment 2569607
..View attachment 2569608
Ahsante, kwa hio huwa ni mbao ya kawaida ya fisha board inayochongwa kutokana na aina ya urembo?Hyo inaachongwa mashineni Kuna machine inadesign tofaut za urembo ndo unachagua then unatolewa mbao yenye ua husika ukilochagua
Hizo ni mbao za kawaida tu, mara nyingi zinakuwa ni 1 by 6 zinabananishwa tatu tatu kwa kuzipishanisha nchi moja moja kutengeneza hizo ngazi ngaziAhsante, kwa hio huwa ni mbao ya kawaida ya fisha board inayochongwa kutokana na aina ya urembo?
Nashukuru mtaalamHizo ni mbao za kawaida tu, mara nyingi zinakuwa ni 1 by 6 zinabananishwa tatu tatu kwa kuzipishanisha nchi moja moja kutengeneza hizo ngazi ngazi
Pamoja ndg, ukihitaji ramani, makadirio pia tuwasilianeNashukuru mtaalam
Sawa mtalaaam bei zako ni ngapi mtaalam.?Pamoja ndg, ukihitaji ramani, makadirio pia tuwasiliane