Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Ninashida na kitabu cha someni kwa furaha 2B kile chenye hadithi ya Bulicheka. Na kitabu cha Alfu Lela Ulela(Ile tafsiri ya zamani achana na hii mpya ya Mkuki na nyota) vitabu vyote vinne. Ukivipata viscan na kunitumia scan yake.
Hicho someni kwa furaha ntalipia 10,000 na hivyo Vya alfu lela ulela nitalipia 15,000 kila kimoja. Kama ukipata ntakulipa jumla 70,000.
Natanguliza shukrani.
Hicho someni kwa furaha ntalipia 10,000 na hivyo Vya alfu lela ulela nitalipia 15,000 kila kimoja. Kama ukipata ntakulipa jumla 70,000.
Natanguliza shukrani.