Nisaidie kupata hivi vitabu halafu tutalipana namna hii

Lycaon pictus

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2021
Posts
9,189
Reaction score
16,128
Ninashida na kitabu cha someni kwa furaha 2B kile chenye hadithi ya Bulicheka. Na kitabu cha Alfu Lela Ulela(Ile tafsiri ya zamani achana na hii mpya ya Mkuki na nyota) vitabu vyote vinne. Ukivipata viscan na kunitumia scan yake.

Hicho someni kwa furaha ntalipia 10,000 na hivyo Vya alfu lela ulela nitalipia 15,000 kila kimoja. Kama ukipata ntakulipa jumla 70,000.

Natanguliza shukrani.
 
Aiseee umenikumbusha mbali na hivyo vitabu. Bulicheka na mkewe Elizabeth na wagagagigikoko
 
Adimu sana siku hizi. Vitabu vingi vya zamani kuvipata ni kazi ngumu kuvipata.
 
Umenikumbusha mbali. Mwenye copy ya kitabu cha jemedari kipili aje pm tufanye biashara
 
Mimi natafuta kitabu cha hekaya cha abunuasi
 
Hio gharama ndogo Sana kwa vitabu vya alfu Lela ulela vyote vinne kuviscan vina page nyingi , nyumban tunavyo alfu lela ulela vyote vinne na vya hadisi za zaman kibao ,mpaka lile likitabu la binti chura tunalo na vingine vingi
 
Hiyo bei ni nzuri sana mkuu, tena ipo juu. Ukienda kununua kitabu haifiki hiyo, ni vile tu vimekuwa adimu.
 
Hio gharama ndogo Sana kwa vitabu vya alfu Lela ulela vyote vinne kuviscan vina page nyingi , nyumban tunavyo alfu lela ulela vyote vinne na vya hadisi za zaman kibao ,mpaka lile likitabu la binti chura tunalo na vingine vingi
Fanya maarifa tufanye biashara?
 
Kama huna haraka nivumilie Dec nikienda nyumban nikutumie mavitabu yote,tuna mavitabu mengi ya hadithi sababu mama alikua mwalim enz za uhai wake pale hailsalasi unguja.kama huna haraka
Sema ni urgency, lakini tutafutane kipindi hicho bado nina shida na vitabu vingi.
 
Hio gharama ndogo Sana kwa vitabu vya alfu Lela ulela vyote vinne kuviscan vina page nyingi , nyumban tunavyo alfu lela ulela vyote vinne na vya hadisi za zaman kibao ,mpaka lile likitabu la binti chura tunalo na vingine vingi
Upo wapi mkuu tuonge biashara

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…