Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 40,828
- 99,523
Hili ni somo fupi lakini lenye ujazo mzito sana kwa vijana.
Sio vyema kuingilia ugomvi wa baba na mama yako. Ingawa nivyema ukawaamua baba na mama yako na kuwahisi wasigombane iwapo wataanza kupasuana ikiwa upo nyumbani.
Hapa tumepata mfano mzuri kabisa wa jibu alilopata kijana kutoka kwa baba yake baada ya kutamani kudadisi wapi hasa mama anamkosea baba, lakini pia kuna mchangiaji amecomment kwamba kijana alipaswa akasikilize na upande wa pili yaani kwa mama...😂😂
Kwa mtazamo wangu... hili lingekua kosa lingine la pili kwa kijana kumuuliza mama yake kwanini wanapigana na baba nini hasa chanzo.
Je na mama angejibu kwamba (baba yako sikuizi ananipelekea moto hadi nachubuka...🙄🙄
Hapo bilashaka kijana angekua ameipata laana aliokua anaitafuta.
Nami nasisitiza kwamba ugomvi wa baba na mama mtoto usiingilie, labda unaweza ukawaamua ili wasipasuane na usitake kusikiliza kwamba nani kamkosea nani.