ehee kumbe
JF-Expert Member
- Jul 1, 2013
- 267
- 155
Wana jf wenzangu,mimi ni mfugaji wa nyuki na mzalishaji mkubwa asali.ninahitaji maboksi ya karatasi ngumu kwa ajili ya kuweka chupa za asali.maboksi hayo yawe na uwezo wa kubeba dazani moja ya chupa za ujazo wa lita moja.nimejalibu kutafuta niwapi wanatengeneza ili nitengenezewe nimekosa.naomba kama kuna mtu anatengeneza au anajua wapi yanatengenezwa naomba nijulishe.
Nasubiri mnijuze
Nasubiri mnijuze