Nisaidie nahitaji maboksi ya kufungashia bidhaa nitapata wapi ?

Nisaidie nahitaji maboksi ya kufungashia bidhaa nitapata wapi ?

Kamanda! Ehee kumbe Hebu chek nahao waDOSI wanaitwa TLL, PRINTING n PACKAGING.
Contact: +255 22 286 4196
+255 22 286 3017
Fax : +255 22 286 5183
Mobile: 0754 852 489
Email : sales@tllprinting.com
Website: ::TLL Printing & Packaging - Home
Mkuu km Bado hujafanikiwa chek nao kwa Mawasiliano hayo wanaweza kuwa Msaada kwako kila la Heri!
niliwapigia simu hawakupokea ila sijakata tamaa nitawatwangia tena
 
nawashukuru sana wote mliotoa msaada kwangu mpaka sasa mmenipa uelekeo mzuri mbarikiwe sana
 
Back
Top Bottom