ehee kumbe
JF-Expert Member
- Jul 1, 2013
- 267
- 155
wewe upo wapi? Dar au Mkoa? chupa za lita moja zipi kioo au plastic (kama za maji ya kunywa),
mimi niko DOdoma mjini.chupa ninazotumia kuweka asali niza plastic.hizi chupa ni za ujazo wa kilo moja,zingine za nusu kilo.chupa hizi ni fupi si ndefu kama za maji ya kunywa.wewe upo wapi? Dar au Mkoa? chupa za lita moja zipi kioo au plastic (kama za maji ya kunywa),
Ninayo lakini yanawezekana ukubwa ni zaidi ya hayo mahitaji yako uko tayari tuwasiliane niko Dar.
natamani wajitokeze watusaidie maana wajasiriamali wengi tunahangaika mno vifungashio ni shida hasa maboksikwakweli sijui ngoja waje ila humu dsm yanapatikana sana
natamani wajitokeze watusaidie maana wajasiriamali wengi tunahangaika mno vifungashio ni shida hasa maboksi
Wana jf wenzangu,mimi ni mfugaji wa nyuki na mzalishaji mkubwa asali.ninahitaji maboksi ya karatasi ngumu kwa ajili ya kuweka chupa za asali.maboksi hayo yawe na uwezo wa kubeba dazani moja ya chupa za ujazo wa lita moja.nimejalibu kutafuta niwapi wanatengeneza ili nitengenezewe nimekosa.naomba kama kuna mtu anatengeneza au anajua wapi yanatengenezwa naomba nijulishe.
Nasubiri mnijuze
mi niko Dodoma niko tayari ebu ni pm
mimi niko DOdoma mjini.chupa ninazotumia kuweka asali niza plastic.hizi chupa ni za ujazo wa kilo moja,zingine za nusu kilo.chupa hizi ni fupi si ndefu kama za maji ya kunywa.
maboksi ninayotaka kutengenezewa lazima yawekwe logo yangu,barcods na maelezo ya bidhaa ambayo nitakupa uweke je utaweza ?
mi kuwa Dodoma kusikupe shida kama unaweza tufanye biashara
dar au mkoa? Me nipo wilaya!
nashukuru kwa taarifa yako nzuri sana.nakuomba jitahidi tupate contact zao ili wana jf tusisumbuke tenaMkuu hongera sana hapa DAR kuna KAMPUNI ya Wahindi inaitwa TLL ipo KEKO CHANG'OMBE km unatokae Kariakoo ukishapita VETA unaingia upande wa KULIA kabla hujafika KIWANDA cha CMBA PLASTIC ndo kipo hicho kiwanda! mm niliwahi kutengeneza hapo Miaka ya 90's nilikuwa nafungia SAMAKI ntajitahidi leo nipite pale nichukue mawasiliano yao then ntatupia hapa Jamvini ucheknao!
nashukuru kwa kunijuza nitajitahidi kufika hapoNenda pale EPZA, external, Mandela road, kuna viwanda kama vinne vya packaging materials.
nashukuru kwa taarifa yako nzuri sana.nakuomba jitahidi tupate contact zao ili wana jf tusisumbuke tena
asante nashukuru nitafatilia...watafute jamaa wanaitwa OMAR PACKAGING,wako njia ya uwanja wa ndege karibu na kings furniture. Hawa jamaa ni moja ya viwanda vya bakhresa na ndo vinatengeneza pia kwaajili ya bidhaa zake. Peleka specifications zako na nembo zako watakusaidia...