Searching for the truth
JF-Expert Member
- Mar 22, 2022
- 903
- 1,851
Hi wana jf.
Wanawake wa jamii forum please nisaidie tiba maambukizi kwenye via vya uzazi (P.I.D).
Huu ugonjwa unamtesa sana mwanamke wangu kwa zaidi ya miezi sita sasa, kwa kifupi ugonjwa umekuwa sugu.
Kutokwa na uchafu wa marangi rangi huko chini ukiambatana na harufu imekuwa ni kawaida kwake, nahisi sasa kizazi chake kitadondoka kama siyo kuwa mgumba kabisa
Niliwahi mpeleka Harble Clinic moja hapa Dar, alikutwa na magonjwa mengi kidogo lakini kubwa ilikuwa ni P.I.D, hormonal inmbalance na mifupa kukauka (kukosa uroto).
Vipimo ilikuwa bei rahisi, ila tiba ndiyo ikawa msala, jamaa waliniandikia dawa zao ambazo zilikuwa zinagharimu zaidi ya laki 8 na nusu hivi.
Sasa mimi nikashindwa hali iliyopelekea mpaka sasa wife bado anaishi na haya matatizo hasa P.I.D ndiyo inamtesa sana.
Nilikuwa naomba msaada hasa kwa wanawake ninyi mliponaje mlipo ugua ugonjwa huu, kama naweza pata tiba itayo gharimu chini ya laki moja naombeni mnisaidie, maana wale wachina laki 8 nili shindwa.
Nawasilisha