Nisaidie tiba maambukizi kwenye via vya uzazi (P.I.D)

Ushauri
1.Nendeni hospitali mkatibuwe wote maana huo ugonjwa unahitajika mtibiwe wote unaweza kumtibu mwanamke huku mwanaume anao pia so mkapatiwe matibabu wpte wawili
2.Ni simple sana matibabu yake ukisha patiwa vipimo sahihi na wala hata laki 1 haiwezi kuisha
3.Nenda hospitali yoyote kubwa tu iwe ya private au ya serikali utatibiwa vizuri tu. Ni matatizo madogo tu hayo wala usiumie kichwa.
 
Mkuu mwanaume nae anapata P.I.D ?
 
Mkuu mwanaume nae anapata P.I.D ?
Hapana, Pelvic Inflammatory Disease (PID) ni ugonjwa ambao huathiri viungo vya uzazi vya mwanamke kama kizazi, mirija ya uzazi, na ovari. Kwa kawaida, PID husababishwa na maambukizi ya bakteria ambayo huambukizwa kupitia ngono, kama vile klamidia na kisonono.

Kwa wanaume, ingawa hawawezi kupata PID kwa sababu hawana viungo vya uzazi vya kike, wanaweza kupata maambukizi mengine ya njia ya uzazi, kama vile:

1. Urethritis - Maambukizi ya mrija wa mkojo.

2. Epididymitis - Maambukizi ya mirija inayohifadhi mbegu za kiume kwenye korodani.
 
Ni lini mtaanza kutumia akili vizuri yaani unaacha kumpeleka mgonjwa hospitali kwa watu sahihi waliosomea, unampeleka kwa MAKANJANJA yaani PID unatibia kwa 800K.

Hapo hata serikali isilaumiwe yamkini huu UGALI upigwe marufuku huenda ndo unafubaza uwezo wa KUFIKIRI!!!

Hapo unakuta wewe unaelimu angalau ya form 4 ila hujielewi hivi.

Hii ni shida kubwa sana kitaifa, watu hawana matumizi sahihi ya UBONGO wao!!!
 
Mkuu,
Mtafutie hizi dawa dozi ya CLINDAMYCIN 300MG CAPS na ORNIDAZOLE TABS.

Hii ni doze ya one week..tatizo litaisha na itabakia historia..

Then rudi utupe mrejesho..
View attachment 3185107View attachment 3185108
Clindamycin Kuna brand nyingi nyingi Sanaa Kuna dalacin na Tidack.. Tidack ni Bei chee

Natamani nikuchukulie hizi dawa buree kabisa maana ni less than 12,000 ambapo Tidack brista 8500 + ornidazole tabs 3500=12,000

Kila lakheli
Wewe kama ni daktari basi wewe unaushamba sana, kwanini usimsaidie huyu mwamba msaada wa kweli.Kwanini mnahatarisha afya za watu kwa kutoa na kupendekeza dawa kienyeji hivi.

Wewe utakuwa wale madocta uchwara badilika na tibu kwa kufata utaratibu. Kwa akili ya kawaida tu wewe hujamuona mgonjwa na unaweza vipi mpatia dawa kwa kusikia stori kwa mtu wa tatu tena kaambiwa anaugonjwa huo kutoka kwa MAKANJANJA wa tiba asili.

Unahatarisha afya za watu na pia unachochea MATUMIZI YASIYO SAHIHI YA DAWA!!!!

BADILIKA🤝
 
Hi wana jf.

Wanawake wa jamii forum please nisaidie tiba maambukizi kwenye via vya uzazi (P.I.D).

Huu ugonjwa unamtesa sana mwanamke wangu kwa zaidi ya miezi sita sasa, kwa kifupi ugonjwa umekuwa sugu.

Kutokwa na uchafu wa marangi rangi huko chini ukiambatana na harufu imekuwa ni kawaida kwake, nahisi sasa kizazi chake kitadondoka kama siyo kuwa mgumba kabisa

Niliwahi mpeleka Harble Clinic moja hapa Dar, alikutwa na magonjwa mengi kidogo lakini kubwa ilikuwa ni P.I.D, hormonal inmbalance na mifupa kukauka (kukosa uroto).

Vipimo ilikuwa bei rahisi, ila tiba ndiyo ikawa msala, jamaa waliniandikia dawa zao ambazo zilikuwa zinagharimu zaidi ya laki 8 na nusu hivi.

Sasa mimi nikashindwa hali iliyopelekea mpaka sasa wife bado anaishi na haya matatizo hasa P.I.D ndiyo inamtesa sana.

Nilikuwa naomba msaada hasa kwa wanawake ninyi mliponaje mlipo ugua ugonjwa huu, kama naweza pata tiba itayo gharimu chini ya laki moja naombeni mnisaidie, maana wale wachina laki 8 nili shindwa.

Nawasilisha
Moja kati ya madhara ya PID ni kukufanya iwe mgumba. Nenda hospital wewe dada acha kubet na maisha.
 
Hapana, Pelvic Inflammatory Disease (PID) ni ugonjwa ambao huathiri viungo vya uzazi vya mwanamke kama kizazi, mirija ya uzazi, na ovari. Kwa kawaida, PID husababishwa na maambukizi ya bakteria ambayo huambukizwa kupitia ngono, kama vile klamidia na kisonono.

Kwa wanaume, ingawa hawawezi kupata PID kwa sababu hawana viungo vya uzazi vya kike, wanaweza kupata maambukizi mengine ya njia ya uzazi, kama vile:

1. Urethritis - Maambukizi ya mrija wa mkojo.

2. Epididymitis - Maambukizi ya mirija inayohifadhi mbegu za kiume kwenye korodani.
Ok Asante
 
Ni lini mtaanza kutumia akili vizuri yaani unaacha kumpeleka mgonjwa hospitali kwa watu sahihi waliosomea, unampeleka kwa MAKANJANJA yaani PID unatibia kwa 800K.

Hapo hata serikali isilaumiwe yamkini huu UGALI upigwe mrufuku huenda ndo unafubaza uwezo wa KUFIKIRI!!!

Hapo unakuta wewe unaelimu angalau ya form 4 ila hujielewi hivi.

Hii ni shida kubwa sana kitaifa, watu hawana matumizi sahihi ya UBONGO wao!!!
Kwa hiyo herbal clinic ni Makanjanja ?

And then hiyo laki ilikuja kwa kutibu P.I.D, HORMONAL INMBALNCE na ukavu wa mifupa (kukosa uroto), hivyo vyote kwa pamoja ndiyo walitaka laki 8 na kitu, nikaamua kuwaacha nikakilipia vipimo tu elfu 30
 
Wajinga ndio waliwao.

Kaendelee kusubiri miujiza huko kwa MAKANJANJA.Maana umekubali kushikiwa akili.

Yaani hao wapumbavu na wale manabii feki wanakula hela za wanawake kiurahisi sana😄😄😄

Hakuna mwenye AKILI TIMAMU akaenda kutafuta tiba kwa hao wahuni.

Unakubalije hata kufanyiwa kipimo na hao wahuni wasio kuwa na ELIMU kwa vitu wanavyojinasibu kuvitibu, hivi kwanini hamtaki kuumiza akili kujitetea hapa duniani.
 
Wajinga ndio waliwao.

Kaendelee kusubiri miujiza huko kwa MAKANJANJA.Maana umekubali kushikiwa akili.

Yaani hao wapumbavu na wale manabii feki wanakula hela za wanawake kiurahisi sana😄😄😄

Hakuna mwenye AKILI TIMAMU akaenda kutafuta tiba kwa hao wahuni.
ingekuwa wajinga ndiyo waliwao hiyo laki 8 ningewapa.

kuna kitu cha kujifikiria hata wewe, maana naona uko kwenye kuropoka zaidi kuliko kifunidisha, ndiyo maana hata lugha unazotumia ni za hovyo.
 
Hujielewi ndomaana kabla ya kufikiria kwenda sehemu sahihi,wewe uliwaza SHORTCUT!!!

Na watu wote wanaopenda shortcut hawana AKILI TIMAMU!

#Wewe hukutoa hiyo hela kwakuwa hukua nayo, ila wewe kwenda huko ni dhahiri wewe hujitambui.

Kwakua wakati wa kufundishwa wewe hukua makini sasahivi tunakusaidia kukufundisha kinamna ambayo kila ukikumbuka inakusaidia uwe na matumizi sahihi ya UBONGO na isiwe rahisi kurudia huo UJINGA TENA!!!
 
Wewe kama ni daktari basi wewe unaushamba sana, kwanini usimsaidie huyu mwamba msaada wa kweli.Kwanini mnahatarisha afya za watu kwa kutoa na kupendekeza dawa kienyeji hivi.

Wewe utakuwa wale madocta uchwara badilika na tibu kwa kufata utaratibu. Kwa akili ya kawaida tu wewe hujamuona mgonjwa na unaweza vipi mpatia dawa kwa kusikia stori kwa mtu wa tatu tena kaambiwa anaugonjwa huo kutoka kwa MAKANJANJA wa tiba asili.

Unahatarisha afya za watu na pia unachochea MATUMIZI YASIYO SAHIHI YA DAWA!!!!

BADILIKA🤝
WATANZANIA NI WAPUMBAVU MAJORITY.

Unajua kwenye kila kipimo technology imekua Sana KUNA RAPID TEST.

Sasa Mimi nimetoa muongozo wa MTU mwenye P.I.D akitumia ornidazole 500mg tabs na Clindamycin 300mg caps hii ni best combination shida Nini/ tatizo Nini??

Yeye kasema kafanya vipimo..acha ujuaji haukusaidii..na Wala Sito jibishana Tena na wewe..

Brain 🧠 your eye's.

Wasalaam
 
Hi wana jf.

Wanawake wa jamii forum please nisaidie tiba maambukizi kwenye via vya uzazi (P.I.D).

Huu ugonjwa unamtesa sana mwanamke wangu kwa zaidi ya miezi sita sasa, kwa kifupi ugonjwa umekuwa sugu.

Kutokwa na uchafu wa marangi rangi huko chini ukiambatana na harufu imekuwa ni kawaida kwake, nahisi sasa kizazi chake kitadondoka kama siyo kuwa mgumba kabisa

Niliwahi mpeleka Harble Clinic moja hapa Dar, alikutwa na magonjwa mengi kidogo lakini kubwa ilikuwa ni P.I.D, hormonal inmbalance na mifupa kukauka (kukosa uroto).

Vipimo ilikuwa bei rahisi, ila tiba ndiyo ikawa msala, jamaa waliniandikia dawa zao ambazo zilikuwa zinagharimu zaidi ya laki 8 na nusu hivi.

Sasa mimi nikashindwa hali iliyopelekea mpaka sasa wife bado anaishi na haya matatizo hasa P.I.D ndiyo inamtesa sana.

Nilikuwa naomba msaada hasa kwa wanawake ninyi mliponaje mlipo ugua ugonjwa huu, kama naweza pata tiba itayo gharimu chini ya laki moja naombeni mnisaidie, maana wale wachina laki 8 nili shindwa.

Nawasilisha
Nitakutibu kwa mti na dawa ya mlundalunda kwa siku 7 usipopona usitoe pesa.
 
WATANZANIA NI WAPUMBAVU MAJORITY.

Unajua kwenye kila kipimo technology imekua Sana KUNA RAPID TEST.

Sasa Mimi nimetoa muongozo wa MTU mwenye P.I.D akitumia ornidazole 500mg tabs na Clindamycin 300mg caps hii ni best combination shida Nini/ tatizo Nini??

Yeye kasema kafanya vipimo..acha ujuaji haukusaidii..na Wala Sito jibishana Tena na wewe..

Brain 🧠 your eye's.

Wasalaam
Wewe kubali kubadilika daktari wa thadiwaldi unabehave kishitholeshithole,,,,yaani unatetea uzwazwa ulioufanya kabisa😄😄😄😄

Wewe unajua hata miiko ya kazi yako kweli???!!!

Kama madaktari wenyew ndio nyie no wonder kwanini wagonjwa hawaponi na wanaopt kwenda huko kwa MAKANJANJA kwakuwa hamuonyeshi utofauti na hao wahuni.

Daktari mzima unatibia wagonjwa mtandaoni hivi ndo mlifundishwa huko vyuoni, au ulikuwa unataka KUJIOSHA mbele ya kadamnasi kuwa wewe unajua dawa.

Yaani mgonjwa kusema tu alifanya kipimo wewe tayari umejiridhisha kuwa hiyo dawa itamtibu🤣🤣🤣badili jina huna hadhi ya kujipa hiyo title ya Dr. na umeongeza PhD mbele🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 gentleman uwezo wako wa kiakili ni soo average,rudi shule🤝

Nyie ndo mnasababisha MADAWA MENGI YANARESISTANCE kwa kufanya mambo kama wendawazimu.

Hata kama alifanya whatever Rapid test, tiba haitolewi kienyeji hivyo. Siku mbili tatu hiyo Cilindamycin nayo itakuwa haifui dafu.

ZAMANI WALIOKUWA WANASOMEA UDAKTARI WALIKUWA NA AKILI SANA ILA SIKUIZI, WENGI WALIOKO HUKO MAHOSPITALINI WALIIBA MITIHANI YAANI VITU VYA KUTUMIA TU AKILI KIDOGO BADO MTU HAWEZI😀😀😀

#UAFRICA/ UHALF HUMAN HALF ANIMAL NI KIKWAZO SANA KWENYE HII DUNIA!
 
Hujielewi ndomaana kabla ya kufikiria kwenda sehemu sahihi,wewe uliwaza SHORTCUT!!!

Na watu wote wanaopenda shortcut hawana AKILI TIMAMU!

#Wewe hukutoa hiyo hela kwakuwa hukua nayo, ila wewe kwenda huko ni dhahiri wewe hujitambui.

Kwakua wakati wa kufundishwa wewe hukua makini sasahivi tunakusaidia kukufundisha kinamna ambayo kila ukikumbuka inakusaidia uwe na matumizi sahihi ya UBONGO na isiwe rahisi kurudia huo UJINGA TENA!!!

Your level of your stupidity left me speechless
 
🤣🤣🤣🤣🤣hata ungeiweka kwa kiswahili, kiingilishi hakiongezi akili.Endapo bado hujapata kitu kutoka kwenye comenti zangu, wewe ni KILAZA am above your league.

Tafuta wapuuzi wenzako mkae mfarijiane ujingaujinga wa kwenda kwa MAKANJANJA(HERBLE CLINICS) wakacheze na afya zenu alafu baadae muanze kupata matatizo ya INI na FIGO muuende kwa MATAPELI mkaombewe na kutoa sadaka(MALIPO KWA KUTOKUWA NA AKILI NA KUTAKA KITONGA) ya vimali mlivyochuma kwa taabu sana.Gentleman,maisha ni mchakato. hakuna SHORTCUT kwenye maisha.LEARN OR PERISH!!!!!

Gentleman,nikupe take home sms, "life cycle ya mjinga ni fupi kama ilivyo life cycle ya INZI".
 
Hi wana jf.

Wanawake wa jamii forum please nisaidie tiba maambukizi kwenye via vya uzazi (P.I.D).

Huu ugonjwa unamtesa sana mwanamke wangu kwa zaidi ya miezi sita sasa, kwa kifupi ugonjwa umekuwa sugu.

Kutokwa na uchafu wa marangi rangi huko chini ukiambatana na harufu imekuwa ni kawaida kwake, nahisi sasa kizazi chake kitadondoka kama siyo kuwa mgumba kabisa

Niliwahi mpeleka Harble Clinic moja hapa Dar, alikutwa na magonjwa mengi kidogo lakini kubwa ilikuwa ni P.I.D, hormonal inmbalance na mifupa kukauka (kukosa uroto).

Vipimo ilikuwa bei rahisi, ila tiba ndiyo ikawa msala, jamaa waliniandikia dawa zao ambazo zilikuwa zinagharimu zaidi ya laki 8 na nusu hivi.

Sasa mimi nikashindwa hali iliyopelekea mpaka sasa wife bado anaishi na haya matatizo hasa P.I.D ndiyo inamtesa sana.

Nilikuwa naomba msaada hasa kwa wanawake ninyi mliponaje mlipo ugua ugonjwa huu, kama naweza pata tiba itayo gharimu chini ya laki moja naombeni mnisaidie, maana wale wachina laki 8 nili shindwa.

Nawasilisha
Muhimbili au mwananyamala ushaenda? Achana na hao matapeli
 
Mkuu,
Mtafutie hizi dawa dozi ya CLINDAMYCIN 300MG CAPS na ORNIDAZOLE TABS.

Hii ni doze ya one week..tatizo litaisha na itabakia historia..

Then rudi utupe mrejesho..
View attachment 3185107View attachment 3185108
Clindamycin Kuna brand nyingi nyingi Sanaa Kuna dalacin na Tidack.. Tidack ni Bei chee

Natamani nikuchukulie hizi dawa buree kabisa maana ni less than 12,000 ambapo Tidack brista 8500 + ornidazole tabs 3500=12,000

Kila lakheli
Akanunue hizi
 
Hi wana jf.

Wanawake wa jamii forum please nisaidie tiba maambukizi kwenye via vya uzazi (P.I.D).

Huu ugonjwa unamtesa sana mwanamke wangu kwa zaidi ya miezi sita sasa, kwa kifupi ugonjwa umekuwa sugu.

Kutokwa na uchafu wa marangi rangi huko chini ukiambatana na harufu imekuwa ni kawaida kwake, nahisi sasa kizazi chake kitadondoka kama siyo kuwa mgumba kabisa

Niliwahi mpeleka Harble Clinic moja hapa Dar, alikutwa na magonjwa mengi kidogo lakini kubwa ilikuwa ni P.I.D, hormonal inmbalance na mifupa kukauka (kukosa uroto).

Vipimo ilikuwa bei rahisi, ila tiba ndiyo ikawa msala, jamaa waliniandikia dawa zao ambazo zilikuwa zinagharimu zaidi ya laki 8 na nusu hivi.

Sasa mimi nikashindwa hali iliyopelekea mpaka sasa wife bado anaishi na haya matatizo hasa P.I.D ndiyo inamtesa sana.

Nilikuwa naomba msaada hasa kwa wanawake ninyi mliponaje mlipo ugua ugonjwa huu, kama naweza pata tiba itayo gharimu chini ya laki moja naombeni mnisaidie, maana wale wachina laki 8 nili shindwa.

Nawasilisha

Pole sana.

Ni kweli kwamba mojawapo ya madhara ya PID ni kusababisha mirija ya uzazi kuziba hatimaye ugumba hutokea.

Sijajua kama aliwahi kwenda hospital kuonana na daktari au kama aliwahi kutumia dawa zozote za hospital kwa ajili ya hilo tatizo.

Ili kutibu PID mwanamke anashauriwa kwanza kujikinga au kuepuka visababishi vya PID mfano kuepuka ngono zembe, kuepuka kusafisha uke (douching) au kuingiza kitu chochote kwenye uke mfano sabuni nk.
Pili akienda hospital na akathibitika kuwa na PID basi hupewa dawa za kutumia kwa walau wiki mbili. Pia ni muhimu mwenzake naye akachunguzwa na kutibiwa ili kuepuka maambukizi kujirudiarudia.

Kama baada ya kumaliza dozi kikamilifu bado mwanamke ataona hizo dalili za PID basi itabidi akafanye kipimo cha kuotesha huo uchafu unaotoka ili kubaini aina ya bacteria waliopo kwenye huo uchafu pamoja na kujua dawa mahususi ya kuwauwa hao bacteria (kipimo kinaitwa High Vaginal Swab culture and sensitivity: HVS c/s).

Kwa hiyo mpeleke hospital ili akaonwe na daktari ili afanyiwe uchunguzi na vipimo na kutibiwa.

Kila la kheri.
 
Back
Top Bottom