Mkuu mwanaume nae anapata P.I.D ?Ushauri
1.Nendeni hospitali mkatibuwe wote maana huo ugonjwa unahitajika mtibiwe wote unaweza kumtibu mwanamke huku mwanaume anao pia so mkapatiwe matibabu wpte wawili
2.Ni simple sana matibabu yake ukisha patiwa vipimo sahihi na wala hata laki 1 haiwezi kuisha
3.Nenda hospitali yoyote kubwa tu iwe ya private au ya serikali utatibiwa vizuri tu. Ni matatizo madogo tu hayo wala usiumie kichwa.
Hapana, Pelvic Inflammatory Disease (PID) ni ugonjwa ambao huathiri viungo vya uzazi vya mwanamke kama kizazi, mirija ya uzazi, na ovari. Kwa kawaida, PID husababishwa na maambukizi ya bakteria ambayo huambukizwa kupitia ngono, kama vile klamidia na kisonono.Mkuu mwanaume nae anapata P.I.D ?
Wewe kama ni daktari basi wewe unaushamba sana, kwanini usimsaidie huyu mwamba msaada wa kweli.Kwanini mnahatarisha afya za watu kwa kutoa na kupendekeza dawa kienyeji hivi.Mkuu,
Mtafutie hizi dawa dozi ya CLINDAMYCIN 300MG CAPS na ORNIDAZOLE TABS.
Hii ni doze ya one week..tatizo litaisha na itabakia historia..
Then rudi utupe mrejesho..
View attachment 3185107View attachment 3185108
Clindamycin Kuna brand nyingi nyingi Sanaa Kuna dalacin na Tidack.. Tidack ni Bei chee
Natamani nikuchukulie hizi dawa buree kabisa maana ni less than 12,000 ambapo Tidack brista 8500 + ornidazole tabs 3500=12,000
Kila lakheli
Moja kati ya madhara ya PID ni kukufanya iwe mgumba. Nenda hospital wewe dada acha kubet na maisha.Hi wana jf.
Wanawake wa jamii forum please nisaidie tiba maambukizi kwenye via vya uzazi (P.I.D).
Huu ugonjwa unamtesa sana mwanamke wangu kwa zaidi ya miezi sita sasa, kwa kifupi ugonjwa umekuwa sugu.
Kutokwa na uchafu wa marangi rangi huko chini ukiambatana na harufu imekuwa ni kawaida kwake, nahisi sasa kizazi chake kitadondoka kama siyo kuwa mgumba kabisa
Niliwahi mpeleka Harble Clinic moja hapa Dar, alikutwa na magonjwa mengi kidogo lakini kubwa ilikuwa ni P.I.D, hormonal inmbalance na mifupa kukauka (kukosa uroto).
Vipimo ilikuwa bei rahisi, ila tiba ndiyo ikawa msala, jamaa waliniandikia dawa zao ambazo zilikuwa zinagharimu zaidi ya laki 8 na nusu hivi.
Sasa mimi nikashindwa hali iliyopelekea mpaka sasa wife bado anaishi na haya matatizo hasa P.I.D ndiyo inamtesa sana.
Nilikuwa naomba msaada hasa kwa wanawake ninyi mliponaje mlipo ugua ugonjwa huu, kama naweza pata tiba itayo gharimu chini ya laki moja naombeni mnisaidie, maana wale wachina laki 8 nili shindwa.
Nawasilisha
Ok AsanteHapana, Pelvic Inflammatory Disease (PID) ni ugonjwa ambao huathiri viungo vya uzazi vya mwanamke kama kizazi, mirija ya uzazi, na ovari. Kwa kawaida, PID husababishwa na maambukizi ya bakteria ambayo huambukizwa kupitia ngono, kama vile klamidia na kisonono.
Kwa wanaume, ingawa hawawezi kupata PID kwa sababu hawana viungo vya uzazi vya kike, wanaweza kupata maambukizi mengine ya njia ya uzazi, kama vile:
1. Urethritis - Maambukizi ya mrija wa mkojo.
2. Epididymitis - Maambukizi ya mirija inayohifadhi mbegu za kiume kwenye korodani.
Kwa hiyo herbal clinic ni Makanjanja ?Ni lini mtaanza kutumia akili vizuri yaani unaacha kumpeleka mgonjwa hospitali kwa watu sahihi waliosomea, unampeleka kwa MAKANJANJA yaani PID unatibia kwa 800K.
Hapo hata serikali isilaumiwe yamkini huu UGALI upigwe mrufuku huenda ndo unafubaza uwezo wa KUFIKIRI!!!
Hapo unakuta wewe unaelimu angalau ya form 4 ila hujielewi hivi.
Hii ni shida kubwa sana kitaifa, watu hawana matumizi sahihi ya UBONGO wao!!!
Wajinga ndio waliwao.Kwa hiyo herbal clinic ni Makanjanja ?
And then hiyo laki ilikuja kwa kutibu P.I.D, HORMONAL INMBALNCE na ukavu wa mifupa (kukosa uroto), hivyo vyote kwa pamoja ndiyo walitaka laki 8 na kitu, nikaamua kuwaacha nikakilipia vipimo tu elfu 30
ingekuwa wajinga ndiyo waliwao hiyo laki 8 ningewapa.Wajinga ndio waliwao.
Kaendelee kusubiri miujiza huko kwa MAKANJANJA.Maana umekubali kushikiwa akili.
Yaani hao wapumbavu na wale manabii feki wanakula hela za wanawake kiurahisi sana😄😄😄
Hakuna mwenye AKILI TIMAMU akaenda kutafuta tiba kwa hao wahuni.
Hujielewi ndomaana kabla ya kufikiria kwenda sehemu sahihi,wewe uliwaza SHORTCUT!!!ingekuwa wajinga ndiyo waliwao hiyo laki 8 ningewapa.
kuna kitu cha kujifikiria hata wewe, maana naona uko kwenye kuropoka zaidi kuliko kifunidisha, ndiyo maana hata lugha unazotumia ni za hovyo.
WATANZANIA NI WAPUMBAVU MAJORITY.Wewe kama ni daktari basi wewe unaushamba sana, kwanini usimsaidie huyu mwamba msaada wa kweli.Kwanini mnahatarisha afya za watu kwa kutoa na kupendekeza dawa kienyeji hivi.
Wewe utakuwa wale madocta uchwara badilika na tibu kwa kufata utaratibu. Kwa akili ya kawaida tu wewe hujamuona mgonjwa na unaweza vipi mpatia dawa kwa kusikia stori kwa mtu wa tatu tena kaambiwa anaugonjwa huo kutoka kwa MAKANJANJA wa tiba asili.
Unahatarisha afya za watu na pia unachochea MATUMIZI YASIYO SAHIHI YA DAWA!!!!
BADILIKA🤝
Nitakutibu kwa mti na dawa ya mlundalunda kwa siku 7 usipopona usitoe pesa.Hi wana jf.
Wanawake wa jamii forum please nisaidie tiba maambukizi kwenye via vya uzazi (P.I.D).
Huu ugonjwa unamtesa sana mwanamke wangu kwa zaidi ya miezi sita sasa, kwa kifupi ugonjwa umekuwa sugu.
Kutokwa na uchafu wa marangi rangi huko chini ukiambatana na harufu imekuwa ni kawaida kwake, nahisi sasa kizazi chake kitadondoka kama siyo kuwa mgumba kabisa
Niliwahi mpeleka Harble Clinic moja hapa Dar, alikutwa na magonjwa mengi kidogo lakini kubwa ilikuwa ni P.I.D, hormonal inmbalance na mifupa kukauka (kukosa uroto).
Vipimo ilikuwa bei rahisi, ila tiba ndiyo ikawa msala, jamaa waliniandikia dawa zao ambazo zilikuwa zinagharimu zaidi ya laki 8 na nusu hivi.
Sasa mimi nikashindwa hali iliyopelekea mpaka sasa wife bado anaishi na haya matatizo hasa P.I.D ndiyo inamtesa sana.
Nilikuwa naomba msaada hasa kwa wanawake ninyi mliponaje mlipo ugua ugonjwa huu, kama naweza pata tiba itayo gharimu chini ya laki moja naombeni mnisaidie, maana wale wachina laki 8 nili shindwa.
Nawasilisha
Wewe kubali kubadilika daktari wa thadiwaldi unabehave kishitholeshithole,,,,yaani unatetea uzwazwa ulioufanya kabisa😄😄😄😄WATANZANIA NI WAPUMBAVU MAJORITY.
Unajua kwenye kila kipimo technology imekua Sana KUNA RAPID TEST.
Sasa Mimi nimetoa muongozo wa MTU mwenye P.I.D akitumia ornidazole 500mg tabs na Clindamycin 300mg caps hii ni best combination shida Nini/ tatizo Nini??
Yeye kasema kafanya vipimo..acha ujuaji haukusaidii..na Wala Sito jibishana Tena na wewe..
Brain 🧠 your eye's.
Wasalaam
Hujielewi ndomaana kabla ya kufikiria kwenda sehemu sahihi,wewe uliwaza SHORTCUT!!!
Na watu wote wanaopenda shortcut hawana AKILI TIMAMU!
#Wewe hukutoa hiyo hela kwakuwa hukua nayo, ila wewe kwenda huko ni dhahiri wewe hujitambui.
Kwakua wakati wa kufundishwa wewe hukua makini sasahivi tunakusaidia kukufundisha kinamna ambayo kila ukikumbuka inakusaidia uwe na matumizi sahihi ya UBONGO na isiwe rahisi kurudia huo UJINGA TENA!!!
🤣🤣🤣🤣🤣hata ungeiweka kwa kiswahili, kiingilishi hakiongezi akili.Endapo bado hujapata kitu kutoka kwenye comenti zangu, wewe ni KILAZA am above your league.Your level of your stupidity left me speechless
Muhimbili au mwananyamala ushaenda? Achana na hao matapeliHi wana jf.
Wanawake wa jamii forum please nisaidie tiba maambukizi kwenye via vya uzazi (P.I.D).
Huu ugonjwa unamtesa sana mwanamke wangu kwa zaidi ya miezi sita sasa, kwa kifupi ugonjwa umekuwa sugu.
Kutokwa na uchafu wa marangi rangi huko chini ukiambatana na harufu imekuwa ni kawaida kwake, nahisi sasa kizazi chake kitadondoka kama siyo kuwa mgumba kabisa
Niliwahi mpeleka Harble Clinic moja hapa Dar, alikutwa na magonjwa mengi kidogo lakini kubwa ilikuwa ni P.I.D, hormonal inmbalance na mifupa kukauka (kukosa uroto).
Vipimo ilikuwa bei rahisi, ila tiba ndiyo ikawa msala, jamaa waliniandikia dawa zao ambazo zilikuwa zinagharimu zaidi ya laki 8 na nusu hivi.
Sasa mimi nikashindwa hali iliyopelekea mpaka sasa wife bado anaishi na haya matatizo hasa P.I.D ndiyo inamtesa sana.
Nilikuwa naomba msaada hasa kwa wanawake ninyi mliponaje mlipo ugua ugonjwa huu, kama naweza pata tiba itayo gharimu chini ya laki moja naombeni mnisaidie, maana wale wachina laki 8 nili shindwa.
Nawasilisha
Akanunue hiziMkuu,
Mtafutie hizi dawa dozi ya CLINDAMYCIN 300MG CAPS na ORNIDAZOLE TABS.
Hii ni doze ya one week..tatizo litaisha na itabakia historia..
Then rudi utupe mrejesho..
View attachment 3185107View attachment 3185108
Clindamycin Kuna brand nyingi nyingi Sanaa Kuna dalacin na Tidack.. Tidack ni Bei chee
Natamani nikuchukulie hizi dawa buree kabisa maana ni less than 12,000 ambapo Tidack brista 8500 + ornidazole tabs 3500=12,000
Kila lakheli
Hi wana jf.