Nisaidie ushauri...ndoa imenishinda

Nisaidie ushauri...ndoa imenishinda

Pole sana bnyanya;
nakushauri muache huyo jamaa beba mwanao, badilisha namba ya sim, usiage unahamia wapi kifupi 'Close his chapter 4good'. Kumvumilia zaidi ni kusubiri mauti yako mikononi mwake.
 
Mimi ni mama mwenye umri wa miaka 30. Nina mtoto mmoja. .

Akiwa kwangu...hatoi mahitaji wala kujishughulisha na chochote. Na anakua anaishi kwa kunitafutia sababu mpaka anataka kuniua. Hapa nilipo kanipiga sana mpaka nikapelekwa hospital.

Naombeni ushauri wenu ushauri. ..nataka nirudi kwetu na mtoto wangu nina kazi nina uwezo wa kufanya biashara..hapa nilipo nafatilia uhamisho.

Akunyuke tu uanaangalia we kwenu Kweli jibu mapigo.. Haondoki Mtu hapo, kama ni kupigana hata wewe unamjibu hata Kwa kuvizia, wagombanao ndio wapatanao. Hatoki Mtu uwende wapi una kwenu wewe???!! Hapo ndipo kwenu ..! Watu wengine bana miaka 30 uachike gundu..!
 
kwa hiyo aendelee kuvumilia vipigo, manyanyaso na kuabishwa kisa wamezaa? Je huyo mtoto unadhani anakuwa ana furaha anapowaona wazazi wake wakipigana kila siku?
^^
Ndoa maji ya shingo.. Hata ukiondoka mtoto wenu ni daraja litakalowaunganisha.
Mnamsaidia mtoto kukosa mapenzi ya wazazi wawili.
^^
 
Maisha yakaanza...mume wangu alikua ananipenda. Lakin kwasababu ya uzuri wangu wanamme hawajaacha kunisumbua kila leo natongozwa. Mume wangu anajua background yangu...na kwakweli amekua msaada mkubwa katika maisha yangu.

.
Then

Hii Tabia inayozidi kuenea mitaani ya watu kujiita wazuri au kujiona wazuri inatoka wapi? Ee! Uzuri Wa kitu gani, umbo, umri, Kazi au ni Nini mnakiita kizuri Na Kwa nani. Kuna wanawake au wanaume wa ajabu Kweli humu duniani, Eti mie six pack, mara gadenilavu wengine vitumbo kila aina ya ghasia. Uzuri mnaousema ni Upi. Au Kwa kupokea wingi Wa salaam njiani Ndo uzuri? Honestly Mwanamke yeyote akivaa Nguo zinazoonyesha maumbile Yale lazima asumbuliwe njiani sio Kwa Sababu ya uzuri anaweza Kuwa katuni tu lakini watu wanasumbukia boshen. Huwezi kujiita mzuri Kwa stail hiyo.

Kuna kinamama wengi wanajidanganya ati Wao wazuri sana. Sielewi ni mizania ipi wanatumia kujipachikia TBS zao. Kila Mtu ni mzuri tusidanganyane. Nje Kwa mwonekano wako utakiona kibaya but ndani tofauti ..

Nataka mama huyu mzazi Wa Watoto aondoe kwanza fikra potofu kwamba ni mzuri.. Pili asijichanganye ameshazeeka akae apambane Na kidume
Huyo life liendelee.. Maisha majukumu. Ukiona mmeo ana mwanamke we hifadhi ushahidi wa SMS Na cm kisha mtafute Kwa bidii mshushie kitofali Cha kushiba hakikisha umemtenda hasa. Kesi ikienda Mbele ushindi ni wako, utajitetea tu Kwamba hasira Za Ghafla zilikukamata ukamtenda kilema Na hapo Kesi hakuna Kama huyo ni mumeo Wa ndoa labda awe hawara
 
vumilia tu ndo maisha ya ndoa hayo,maji ulishayavulia nguo
 
Jamaa unabadilisha jinsia utadhani ni sticker umebandika mara unataka kwenda Ghana mara nin Duh!
Mpaka unatia huruma hapa ulikua unapima kama story zako zina ualisia

Story yako ilikuwa ya kitapeli kidogo NJIA PANDA clouds ila uliposema kuhusu thread yako JF kuja kuifungua na kuunganisha dots ndio tukapata your TRUE color.
 
Akunyuke tu uanaangalia we kwenu Kweli jibu mapigo.. Haondoki Mtu hapo, kama ni kupigana hata wewe unamjibu hata Kwa kuvizia, wagombanao ndio wapatanao. Hatoki Mtu uwende wapi una kwenu wewe???!! Hapo ndipo kwenu ..! Watu wengine bana miaka 30 uachike gundu..!

Kweli waliosema ndoa ndoano hawakukosea. Mh ila mwambie stoke Yeye we utoke uende wapi. Yeye kama amekuchoka abebe nguo zake aondoke apo ndo kwako na kwa mwanao ukitoka anaingia uyo changu wake.
 
Mimi ni mama mwenye umri wa miaka 30. Nina mtoto mmoja. Wakati wa usichana wangu...nilikua kicheche sana na niliishi maisha ya gharama sana na nilibahatika kupendwa na watu wengi sana wenye pesa na wasio na pesa....na ilifikia hatua nikaamua kuacha hayo mambo na kustick na mtu mmoja ambae alikua mwanafunzi wa chuo ambae nilikua nampenda na kuhisi atakua mume wa maisha yangu na ndie niliyezaa nae.

Niliamua kuokoka na kua na hofu ya Mungu. Sikutaka tena mahusiano ya nje. Kwasababu hakukua na kipya kwangu. Kama starehe nilishafanya sana.

Maisha yakaanza...mume wangu alikua ananipenda. Lakin kwasababu ya uzuri wangu wanamme hawajaacha kunisumbua kila leo natongozwa. Mume wangu anajua background yangu...na kwakweli amekua msaada mkubwa katika maisha yangu.

Ni mwanamme anayependa na mwenye matamanio mazuri katika maisha yetu. Kuna ugonjwa mkubwa umenipata na yeye hapo alikubali kua bega kwa bega na mimi mpaka mwisho.

Nikweli alikubaliana na hali yangu lakini kadri siku zinaenda anakua na lugha chafu...kejeli. .dharau..matusi..na kunipiga na kuanzisha mahusiano nje. Mbaya zaidi hua anakuja kuniambia uchafu wote anaoufanya nje.

Alikua na kazi nzuri...lakin ikaisha kwasasabu ya kunidharau na kuchezea pesa na mwanawake wa nje ambae ilifikia mahala anampa simu yake anapokea.

Wakati anafanya yote hayo sikua na faraja na ndipo nilipoamua kutafuta mwanamme wa kuniliwaza nikiwa nimeshakata nae tamaa.

Soon mume alikuja na kunikuta na meseji ya huyo bwana na nikakili kua nina uhusiano nae. Mume wangu akanisamehe na nikamhaidi sitarudia tena lakin cha kushangaza anaenda kwa boss wangu kueleza yanayotokea nyumbani na kunitangaza kwa watu juu ya ugonjwa nilionao na mbaya zaidi bado anawasiliana na mwanamke wake mpaka muda huu. Na huyo mwanamke anapata kiburi cha kunikutaka na kunidharau na kunieleza madhaifu yangu ya magonjwa ambao ambayo mume wangu alimusimulia.

Nazidi kuumia zaidi nnapojua familia ya mme wangu inamfahamu huyo mwanamke wa nje na wanawasiliana na wifi zangu.

Wakati niko peke yangu nikifanya miradi ya maendeleo ambayo hata mume wangu alikua haijui....na iliniwezesha kujikimu kimaisha na mtoto wangu.

Sasa akarudi amerudi kwangu akiwa hana kazi...na akitaka kuanza maisha na mimi huku akisaidiwa mtaji wa biashara na ndugu zake ili tuweze kuishi kama familia.

Lakin mbaya zaidi..simu yangu yake..ya kwake yakwake...na anahisi bado nipo na mahusiano na yule mwanamme. Na hata ninapokwenda kwenye biashara zangu ananichunga na kuniwekewa mipaka ya kufanya kazi.

Akiwa kwangu...hatoi mahitaji wala kujishughulisha na chochote. Na anakua anaishi kwa kunitafutia sababu mpaka anataka kuniua. Hapa nilipo kanipiga sana mpaka nikapelekwa hospital.

Naombeni ushauri wenu ushauri. ..nataka nirudi kwetu na mtoto wangu nina kazi nina uwezo wa kufanya biashara..hapa nilipo nafatilia uhamisho.
Sawa rudi kwenu
 
tiGo unatoa?
 
Back
Top Bottom