NISAIDIE

NISAIDIE

hebu nenda kanunue septrin nusu dozi uzisage kisha uchanganyie kwenye mafuta ya mgando,
kisha ujipake eneo la tukio, asubuhi ukishakoga..
ulete mrejesho.
nilisoma humu humu Jf ila sikumbuki jina la uzi.
 
Asante sana kiongozi
 
Back
Top Bottom