nisaidien chumba cha kupangisha, mount mru, sanawari au philips

nisaidien chumba cha kupangisha, mount mru, sanawari au philips

msikivuTz

Member
Joined
Apr 17, 2011
Posts
68
Reaction score
407
jaman nipo arusha, naomba kama naweza pata sehemu ya vyumba double maeneo ya either philips, mount meru au sanawari,..
pale si mbali saana toka main road, thank you kwa msaada mtakao toa.
 
kufanya hii kazi iwe rahisi we nenda mtaa unaotaka nyumba alafu ulizia madalali wa nyumba, wape kazi (ila mkubaliane kabisa malipo) unaipata faster ila ukizunguka wewe wenyewe hata miezi mitatu...nyumba hutapata kirahiri Arusha!!
 
mmh ungeweka hii kitu jukwaa husuka mkuu.
 
Back
Top Bottom