Nisaidien hapa..Naweza kufanya kazi gani baada ya kusoma degree in information systems?

Nisaidien hapa..Naweza kufanya kazi gani baada ya kusoma degree in information systems?

charm_chiddy

Member
Joined
Aug 12, 2012
Posts
33
Reaction score
3
wakubwa naomba mnieleweshe vizur..nimechaguliwa Bsc in information systems dodoma..sikuiomba lakin nimekubali kuisoma,naomba kwa anaeifaham,aniambie tu naweza kufanya kaz gan hapa kibongo bongo nikisha graduate?natanguliza shukran zangu
 
Back
Top Bottom