charm_chiddy
Member
- Aug 12, 2012
- 33
- 3
wakubwa naomba mnieleweshe vizur..nimechaguliwa Bsc in information systems dodoma..sikuiomba lakin nimekubali kuisoma,naomba kwa anaeifaham,aniambie tu naweza kufanya kaz gan hapa kibongo bongo nikisha graduate?natanguliza shukran zangu