C charm_chiddy Member Joined Aug 12, 2012 Posts 33 Reaction score 3 Sep 15, 2012 #1 wakubwa naomba mnieleweshe vizur..nimechaguliwa Bsc in information systems dodoma..sikuiomba lakin nimekubali kuisoma,naomba kwa anaeifaham,aniambie tu naweza kufanya kaz gan hapa kibongo bongo nikisha graduate?natanguliza shukran zangu
wakubwa naomba mnieleweshe vizur..nimechaguliwa Bsc in information systems dodoma..sikuiomba lakin nimekubali kuisoma,naomba kwa anaeifaham,aniambie tu naweza kufanya kaz gan hapa kibongo bongo nikisha graduate?natanguliza shukran zangu
F fidelis zul zorander JF-Expert Member Joined Mar 6, 2012 Posts 685 Reaction score 176 Sep 15, 2012 #2 Subiri hapo hapo wajuaji wanakuja sasa hivi..!!