habar zenu wadau wakubwa kwawadogo,Mimi ni kijana wakiume naish Dodoma Naombeni msaada waharaka kwan nasumbuliwa na #tumbo #Maumivu nayopata yapo namna hii yalianza maumivu makali chini yakifua mwaka jana mwez june baadaye yakapotea lakin huwa napata njaa kal wakat wausiku pia tumbo kujaa ges nikawaida tumeingia mwaka huu maumivu chin yakifua yameongezeka nayashuka chin tumboni nakuanzia juzi kifua nacho nahisi kinauma Pia nahis kama homa lakin.Mwanzon dalili hizo ziliambatana nakizunguzungu pia maumivu yamgongo.Wdau msaada jaman.