nisaidien ishu hii jaman.

nisaidien ishu hii jaman.

somalu

Member
Joined
Jul 2, 2013
Posts
25
Reaction score
2
habar zenu wadau wakubwa kwawadogo,Mimi ni kijana wakiume naish Dodoma Naombeni msaada waharaka kwan nasumbuliwa na #tumbo #Maumivu nayopata yapo namna hii yalianza maumivu makali chini yakifua mwaka jana mwez june baadaye yakapotea lakin huwa napata njaa kal wakat wausiku pia tumbo kujaa ges nikawaida tumeingia mwaka huu maumivu chin yakifua yameongezeka nayashuka chin tumboni nakuanzia juzi kifua nacho nahisi kinauma Pia nahis kama homa lakin.Mwanzon dalili hizo ziliambatana nakizunguzungu pia maumivu yamgongo.Wdau msaada jaman.
 
Wakaribishwa sana......Pole sana

Nenda jukwaa la JF Doctor utapata maada....Ila kwa ulivyoandika nashawishika una vidonda vya tumbo..
 
Wakaribishwa sana......Pole sana

Nenda jukwaa la JF Doctor utapata maada....Ila kwa ulivyoandika nashawishika una vidonda vya tumbo..

Swadakta mkuu tedo,hakika hizo ni dalili za vidonda vya tumbo,mkuu somalu nenda hospitali utatapa msaada.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom