Nisaidien Kutafasiri hii Ndoto

Wanajukwaa Poleen na Majukum,Naomben Msaada wa Maarifa kutafasiri Ndoto.

Ukiona Nyoka wawili kwenye Ndoto huwa wanamaanisha nini?
Nyoka absolutely ni adui roho wa vizuizi pepo ama jini je hao nyoka walikufanyaje!? Uliumwa? Ulikimbia ama uliwaua??

Luka 10:19 tazama nimewapa amri ya kukanyaga nyoka na nge na nguvu zote za adui hakuna kitakacho wadhuru
 
What about kwenye dream, ulichomoka mahali and unakimbizwa but ukafanikiwa kuwakwepa wanao kukimbiza?
 
Nyoka absolutely ni adui roho wa vizuizi pepo ama jini je hao nyoka walikufanyaje!? Uliumwa? Ulikimbia ama uliwaua??

Luka 10:19 tazama nimewapa amri ya kukanyaga nyoka na nge na nguvu zote za adui hakuna kitakacho wadhuru
Nilimkosa Wakwanza Akatokea Mwengine Sehem tofaut na alipokuwepo wa kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…