Mwenyewe, mama mancho origino.kweli wewe cantalisia haswaaa
Asante mamashka umesomeka.Kama kweli unauhakika unataka akuache, be a woman, mtafute mkewe muonyeshe sms anazokutishia, then mkewe ndo amkanye. Aanhaaa huo utam anauona leo mwehu nini, anataka amiliki wana wake wawili wawili then wenzake wapate wapi kama si uselfish huo. Kimbiza akafie mto kagera huko.
Asante kwa ushauri madau.Mtumie rafiki yako yeye ndo aongeenae kupitia sim yake hafu mpange dili akitokea usimkopeshe,mpe "live"
Mwambie aache kukutishatisha, kama mliachana aenddelee na maisha yake na ww uwe huru.
Asante kwa ushauri na kunitabasamisha!Huyo jamaa mandaz 2 coz ananguv ya soda angekuwa bwana konyagi angekuja kwen ktoa posa uwe mke wa 2 na hapo ungemuaibishia kanisani Padr aksema Cantelzia unammindi hy dudumiz lililokosa wachuuz ww unajb climaindi kishenz kwanz dak so litakuwa kic n tok mimi la nin? Yangu ndo hayo2.....ACHANA NALO WE FANYA YAKO
mimi nakushauri na wewe uwe kauzu mtafute mke wake umpe mkanda mzima na umwambie amfikishie mumewe ujumbe kwamba ahache kukufuatafuata dawa ya mume wa mtu akikuzingua wakilisha kwa mkewe lazima ashike adabu
Nimekuelewa vizuri na haya ni majibu,Kiukweli Mamaa K huna ushauri mzr na mi sikupendi,
Kumbuka hawa watu initially walipendana na bado huyu mdada anampenda jamaa, na jamaa naye bado anampenda bibie so actions zake za sahz ni kama anarepent y alitoa maamuzi ya haraka kuachana na msichana wake ila tatzo ni hiyo mipombe yake.
Cha msingi mtoa sred atueleze wat made his fiance' turn in2 ulevi pengine ni marafiki au stress na vle the way binti alivokuwa anamuaproach once he was drunk!
So mshkaj hana kosa cha msingi kama wanapendana na anataka tulizo la moyo kiukweli wangeketi chini wayamalize.
Na we would like to seek info frm the other side ndani ya ndoa yake je jamaa anaenjoy au anamtesa tu mkewe wa shaz as intruder.
Ushauri wa bure WanaJF uskubal kuingia kwenye relation na mtu ambae either amemtema/ kutemwa na mwenz wake coz alwys maamuz yoyote yalofanyika hapa is lyk a substitute kupunguza machungu whl in reality she/he still thinkingo of the former relationship.
People do change,coz before hakuwa wa aina hiyo alibadilika on the way, wala usinilaumu kwa hilo!Hizi habari zingine hizi!!!!!!!!!! Hivi huwa mna-date watu wa aina gani???!!!!!!!!!
Pole kwa kuwahi kuwa na mwanaume mwenye tabia ya kipumbavu, nyoka wa mdimu anayedhani anamdanganya mke wake kumbe anajidanganya nafsi yake mwenyewe. Ningekupa ushauri lakini unaweza usiwe wa kiraia ( civilian), lakini kama wanavyosema wadau wasilisha hizo meseji kwa familia yake ( mkeo au ndugu zake). Huyu mtu hana maana yoyote kwako kimaisha, atakupotezea muda na kukuadhiri kisaikolojia wakati tayari ana familia yake. Ikishindikana itabidi ufikishe kwenye vyombo ya dola. Jamani wanaume ukiamua kumuacha mtu na kuanza commitment na mwingine basi uheshimu maamuzi, na kama huwezi kuheshimu maamuzi basi ni bora usiyafanye.Huyu jamaa alikuwa mpnz wangu kwa miaka 2, mwaka jana mwezi wa pili akawa amebadilika analewa sn tukawa tunagombana hatimae tukaachana mwezi wa 4 kila mtu akawa na maisha yake, yeye akapata mchumba akaoa, na mie nikawa nadate na mtu kumbe ananifatilia akafuta yule mtu wangu sikujua alimwambia nn,ila mtu wangu akaomba tuachane kwa amani na nisimtafute tena,kwa vile tulikuahatujanza kupeana nikamwacha aende zake na sikujua sababu, ni wiki mbili sasa yule x wangu alieoa ananifuatilia akiniona na mtu ananitumia msg kali na kuniambia atamfanyizia huyo mtu anaetaka kumuibia penzi lake km alivyomfanyia yule niliadate nae baada ya kuachana ndio nikajua yeye alikuwa sababu,sasa jana usiku kampigia dada yangu anamwambia anikanye nisiwe na mpnz yoyote kwan yeye ndie mpanz wangu wa maisha na mimi akanitumia msg hivyohivyo ya kunionya,naomben msaidie nimfanye nn huyu mtu aniache na maisha yangu, nawasilisha.
Kiukweli Mamaa K huna ushauri mzr na mi sikupendi,
Kumbuka hawa watu initially walipendana na bado huyu mdada anampenda jamaa, na jamaa naye bado anampenda bibie so actions zake za sahz ni kama anarepent y alitoa maamuzi ya haraka kuachana na msichana wake ila tatzo ni hiyo mipombe yake.
Cha msingi mtoa sred atueleze wat made his fiance' turn in2 ulevi pengine ni marafiki au stress na vle the way binti alivokuwa anamuaproach once he was drunk!
So mshkaj hana kosa cha msingi kama wanapendana na anataka tulizo la moyo kiukweli wangeketi chini wayamalize.
Na we would like to seek info frm the other side ndani ya ndoa yake je jamaa anaenjoy au anamtesa tu mkewe wa shaz as intruder.
Ushauri wa bure WanaJF uskubal kuingia kwenye relation na mtu ambae either amemtema/ kutemwa na mwenz wake coz alwys maamuz yoyote yalofanyika hapa is lyk a substitute kupunguza machungu whl in reality she/he still thinkingo of the former relationship.
Kiukweli Mamaa K huna ushauri mzr na mi sikupendi,
Kumbuka hawa watu initially walipendana na bado huyu mdada anampenda jamaa, na jamaa naye bado anampenda bibie so actions zake za sahz ni kama anarepent y alitoa maamuzi ya haraka kuachana na msichana wake ila tatzo ni hiyo mipombe yake.
Cha msingi mtoa sred atueleze wat made his fiance' turn in2 ulevi pengine ni marafiki au stress na vle the way binti alivokuwa anamuaproach once he was drunk!
So mshkaj hana kosa cha msingi kama wanapendana na anataka tulizo la moyo kiukweli wangeketi chini wayamalize.
Na we would like to seek info frm the other side ndani ya ndoa yake je jamaa anaenjoy au anamtesa tu mkewe wa shaz as intruder.
Ushauri wa bure WanaJF uskubal kuingia kwenye relation na mtu ambae either amemtema/ kutemwa na mwenz wake coz alwys maamuz yoyote yalofanyika hapa is lyk a substitute kupunguza machungu whl in reality she/he still thinkingo of the former relationship.
Asante kwa ushauri mkuu.mtumie message mwambie akiendelea na tabia hiyo utalifikisha hilo jambo kwa mkewe (jiandae kwa varangati toka kwake au kwa mkewe), au mtumie huyo dada yako akakutolee taarifa....au mtumie message mwambie utalifikisha hilo swala mbele ya sheria kwa kuwa anakunyanyasa kijinsia (anakubaka kihisia) ....thn msikilizie akizngua tena mripoti kweli......
Asante kwa ushauri Ground zero hope na wengine wenye vitabia kama hivi amepata ujume wako.Pole kwa kuwahi kuwa na mwanaume mwenye tabia ya kipumbavu, nyoka wa mdimu anayedhani anamdanganya mke wake kumbe anajidanganya nafsi yake mwenyewe. Ningekupa ushauri lakini unaweza usiwe wa kiraia ( civilian), lakini kama wanavyosema wadau wasilisha hizo meseji kwa familia yake ( mkeo au ndugu zake). Huyu mtu hana maana yoyote kwako kimaisha, atakupotezea muda na kukuadhiri kisaikolojia wakati tayari ana familia yake. Ikishindikana itabidi ufikishe kwenye vyombo ya dola. Jamani wanaume ukiamua kumuacha mtu na kuanza commitment na mwingine basi uheshimu maamuzi, na kama huwezi kuheshimu maamuzi basi ni bora usiyafanye.
Wala simpendi hata kidogo,tabia zake zilisababisha mapnz yangu kwake yakaisha kbs ndio maana nikachapa mwendo.ina maana bado na ungali wampenda
Kama ikishindikana kwa njia za kistarabu itabidi nimpeleke polisi.Nenda kamripoti polisi uchukue Rb akilala ndani siku mbili tu akili inaingia. Hana mapenzi yoyote ubinafsi tu ndio unamsumbua hataki kuona una move on wakati yeye ameshaoa! WANAUME!