Wala simpendi hata kidogo,tabia zake zilisababisha mapnz yangu kwake yakaisha kbs ndio maana nikachapa mwendo.
Wala sijamkosea kitu,zaidi tu ya kuwa nilimwacha akiwa bado ananipenda na kwa vile aliamini nampenda na cwezi kumwacha kwa mengi aliyokuwa akiyafanya na sikuwahi kuonyesha dalili za kumwacha na alidhan nitaendelea kuvumilia so nilipomwacha ilikuwa gafla kwake na kwa hasira akaenda kuoa, nashangaa tena ananisakama wakati tulishaachana!hahahaha haya lkn naamini kuna kosa ulilolifanya hapa ndo maana sometime anakuwa na hasira nawe
Wala sijamkosea kitu,zaidi tu ya kuwa nilimwacha akiwa bado ananipenda na kwa vile aliamini nampenda na cwezi kumwacha kwa mengi aliyokuwa akiyafanya na sikuwahi kuonyesha dalili za kumwacha na alidhan nitaendelea kuvumilia so nilipomwacha ilikuwa gafla kwake na kwa hasira akaenda kuoa, nashangaa tena ananisakama wakati tulishaachana!
Najua ni ngumu kumpata aliyekamilika km nitakavyo, but kuna mambo ambayo kama binadamu inabidi kuvumiliana sasa jaman mtu analewa mpaka anarudi bila viatu, cm na cku nyingine analala kibarazani wala hajitambui mpaka asubuhi,huyo akiwa ndio mume inakuwa je hapo mkuu,na ukimuliza unachezea makofi,angekuwa mie ndio mdogo wako wa kike ungenishauri niendelee na hiyo relation?hakuna mwanaume utakaemkuta kama wewe utakavyo ... pamoja na kwamba unadai alikukosea au masuala ya ulevi hukutaka kukaa nae na kumwelekeza au kumbadili ila uliona ni bora kumwacha na ndo maana kuna mambo yanamsumbuka kisaikolojia
Asante mkuu.da best thing i thnk,blog namba yake ,au ubadili namba ta simu,na kama hivi vitu haviwezekani,toa taarifa kituoni ,then endelea na maisha yako na huyo umpendae wala usimsikile hayo atakayo yasema,tena kama ikibidi ,huyo ambaye utakuwa nae na unaamin he the one mwambie ukweli ili siku akituma msg ajue nini kinaendelea...............