Mkuu Kanunue Engine ya Boti ndogo, Tengeneza zile Ngalawa wanazovulia , nunua neti na mahitaji mengine kwa hiyo Ml 5 utatoka tu...Kodisha vijana wa kufanyie kazi hiyo ya uvuvi samaki kisha uza kwa jumla..!!!
deh deh deh! hapana nina kaprojekti ka andagraundi! nikifanikiwa hako lazima nianzishe jf yangu.umehamishiwa ofc isiyo na computer au?
its very true,mm ni msichana muhangaikaji wen it comes kutafuta chapaa,nauza laptops,perfume,nguo,kuku wa kienyeji nk,but kuongeza biashara si vibaya as long as siibi na wala simtegemehi mtu zaidi ya Mungu Tu.
wewe toa maoni yako yeye mwenyewe atachagua afanye nini
Ok baada ya kujua jinsia yako, pia ningependa kujua yafuatayo kabla ya kutoa ushari;
1. Umesema mshahara wako ni mdogo na haukutoshi kwa hiyo unataka kufanya biashara ili ujiongezee kipato. Je huo mtaji wa Shs. 5m umeupata kutokana na ''savings'' zako au umekopa?
2. Kama umekopa, riba ni kiasi gani na je umeshaanza kufanya marejesho?
3.Umewahi kufanya biashara yoyote yenye mtaji usiozidi Shs. 5m?
4.Unaposema mshahara mdogo unataka kufanya biashara, je unataka kuacha kazi ufanye biashara ''full time'' au utaweka mtu wa kusimamia hizo biashara zako?
its very true,mm ni msichana muhangaikaji wen it comes kutafuta chapaa,nauza laptops,perfume,nguo,kuku wa kienyeji nk,but kuongeza biashara si vibaya as long as siibi na wala simtegemehi mtu zaidi ya Mungu Tu.
its very true,mm ni msichana muhangaikaji wen it comes kutafuta chapaa,nauza laptops,perfume,nguo,kuku wa kienyeji nk,but kuongeza biashara si vibaya as long as siibi na wala simtegemehi mtu zaidi ya Mungu Tu.
wapi sasa kwa hapa dar au mkoa?profit yake inakuwaje?tunalipana vp?hao vijana sitaweza kuwacontrol full time coz niko job so naomba nieleweshe kwa uzuri plz
mkuu kanunue engine ya boti ndogo, tengeneza zile ngalawa wanazovulia , nunua neti na mahitaji mengine kwa hiyo ml 5 utatoka tu...kodisha vijana wa kufanyie kazi hiyo ya uvuvi samaki kisha uza kwa jumla..!!!
Pearl !! una mawazo mazuri kumbe ..... Ila usiuze kile kisichofaa kuuza japo kinauzika kwani ni dhambi pia...!!
deh deh deh! hapana nina kaprojekti ka andagraundi! nikifanikiwa hako lazima nianzishe jf yangu.
5m nimepata kutoka savings zangu
Ndio kuku wa kienyeji mtaji chini ya m5
nataka niweke mtu coz nafanya kazi but kama inalipa naacha kazi na consetrate na business
Very good! Kama umeweza kufanya biashara ya kuku wa kienyeji na kujikuta una ''savings'' za 5m basi hiyo si haba! Hata hao akina Bakhresa walianza hivyo hivyo. Kwa sasa, ningekushauri ufikirie jinsi ya kuboresha zaidi hiyo biashara yako badala ya ''ku-diversify''. The devil you know is better than an angel you don't know!
Labda kama umegundua kwamba soko la kuku wa kienyeji haliwezi kukua zaidi hapo lilipo hivyo umeamua kuwekeza kwenye fursa zingine za biashara basi utuambie, kisha tuanzie hapo.
siwezi kufanya hivyo as long as Mungu kanipa Miguu na Mikono nitafanya kazi tu kwa njia halali,ukiskia wateja wa hivyo niuzavyo plz niambie kuku wa kienjeji wkubwa sana tu ninao wengi
deh deh deh! hamna bana mnanionea tu. leo kafuraha kamezidi kawaif kamefanya samsing ekstraodinari! ukichanganya na kafuraha ka planed projekti kanavoenda sawa ,hapo tunapata samsing nyuu! (sore kaoff topik)na wewe mpwa leo umenusa ile marijuana ya yule ticha wako wa saint halmashauri sio bureee!!!!! umuombe ze Robot copyright tu!!! (sore ofu topiki ...aah huyu dawa mseto ananimix)
eeeh wewe mjasiliamali naomba shea kwenye business zako
sawa unahitaji wangapi na lini?bei ni sh elfu kumi kwa mmoja
soko kwakweli limepungua,mm nashukuru kwa kidogo nikipatacho,ukipata wateja plz nishtue,watu wengi nowdays wanakula kuku wa kizungu thats y biashara imeshuka