Nisaidieni: 5mil Kuanzia biashara

nina hakika sana,nitafutie soko,nawatoa dodoma,wala si wa kizungu pwua kienyeji
 
njoo na hako kahela chawote ''TUKAJADILI''
 
wow wow wow wow!YOU CAN SAY THAT AGAIN.............!

nimepagusa penyeweeeeeeeeeee !!! tumrubuni Lulu aje kesho chawote!!! tumfanyie na bizness plan!!
 
nimepagusa penyeweeeeeeeeeee !!! tumrubuni Lulu aje kesho chawote!!! tumfanyie na bizness plan!!
SURE!nakuaminia sana kwa utapeli ndio maana ulifanikiwa kuigiza kipindi cha BONGO-DAR ES SALAAM!
fanya mambo
 
SURE!nakuaminia sana kwa utapeli ndio maana ulifanikiwa kuigiza kipindi cha BONGO-DAR ES SALAAM!
fanya mambo

sasa kunianika hivi unadhani Lulu atakubali tena!!!!! mambo mengine bana yawe between us...
 
Dada Pearl; hauna sehemu/ofisi ambayo utaelekeza watu waende kuchukua kuku?
 
nina hakika sana,nitafutie soko,nawatoa dodoma,wala si wa kizungu pwua kienyeji

Pearl, u sure soko la kuku wa kienyeji kwako ni issue? Unaonja kidogo weye? if yes, u can't say umekosa soko la kuku wa kienyeji! Bar zote maarufu jijini wanamahitaji makubwa sana ya kuku hawa kwa ajili ya kuchoma, michemsho (I miss Chawote.....Jofu unaweza sisitiza hapa) etc! Watu wenye pesa zao za kujirusha, hawataki kabisa michemsho au kuku wa kuchoma mwenye umri wa miezi mitatu aisee......!

Zunguka sehemu zifuatazo kwa mfano......Yenu Bar, River side, Meeda, Rombo, SIDE WAY PUB, Kimboka, Banana pale pana pub nyingi sana.....including Blue Mad etc....Savoy, mazda, Katavi etc etc...sehemu hizi huwa tunahangaika sana na vyuku wa kienyeji bibie....ila kama supply yako sio reliable nafikiri ndo unaweza ukakosa wateja......kama supply yako ni reliable na consistent sioni kwanini ukose soko la kuku hawa.....!
 
utakuwa unakula senksi kila unapoitaja chawote...!
 
utakuwa unakula senksi kila unapoitaja chawote...!

....ha!ha!ha!ha!haaaa....na hapo niliandika kabla huja ni brekisha kule jikoni........! Serious, that Mchemsho wa kuku we got tarehe 31.12.09 pale Chawote aka Freedom Park was Unique men........!

On another note, we bibie Pearl kama upo serious umekosa soko la kuku wa kienyeji, please niajiri kama Marketing Manager wako.....we do the job! Mi mwenyewe ni soko tosha.........!
 
Jamani poleni na majukum,kiukweli mshahara haunitoshi kabisaaaaaaa,natamani nifanye biashara lakini sijui ni ipi,nina kamtaji ka sh m5,nahitaji ushauri wenu,Mungu awabariki sana

M5 ni kamtaji?
mhhh?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…