FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,401
M5 ni kamtaji?
mhhh?
uko siriaz?pouwa twende tu si kibihashara?
saaaaaafi!
PAMEKUCHA SASA!...nifanyie mpango wa hiyo bidhaa
pm yako ntakupigia just now na landline plz
karibu sana mkuu!sasa hivi tumeboresha sana huduma!........Poa mgoyo..........! tapitia hapo next week nina trip ya huko! Sasa huyu bibie si anabidha hiyo for now? vipi hamkuenda chemba?
hehehehe!nimempiemu.....Na yeye anatumia landline pia! Mnaogopana?
......hope itakuwa iko poa sana now.....nilikosa supu twice pale siku zile...ila sema nikaendelea kufagilia ile mambo ya kuku aisee! so tapitia mchemsho tena nikija....ha!ha!aaaakaribu sana mkuu!sasa hivi tumeboresha sana huduma!........
poa!KARIBU.....nimefurahi kuongea na ww natumahi tutafanya biashara kama tulivyoongea,kazi njema.
nimefurahi kuongea na ww natumahi tutafanya kama tulivyoongea,kazi njema.
hehehehe!Mtafanya siyo? Haya bana! Kila la kheri!
usiwaze maovu always ktk maisha waza mema
mmmmmmmmh haya bwana
......😀😀!vipi wanasemaje basihaya?mnatunyima nin?Uovu gani niliouwaza? Si umesema mtafanya biashara kama mlivyokubaliana thru foni? Sasa nikiwatakia kila la kheri kuna ubaya gani? BIASHARA NA IDUMU!