Nisaidieni account za instagram za celebrities wa Tz

Nisaidieni account za instagram za celebrities wa Tz

Singida ndio home

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
3,188
Reaction score
3,370
Wadau tafadhali wanaojua jina la profile za instagram za celebrities wakibongo ingependeza mzichangie hapa mana mda mwengine majina yao ya instagram ni kazi kuyapata
 
Sikuua Mawenge = Lulu Michael

Kitwana Matumla = Wema Sepetu !
 
Diamond
Jide
joh makini

ndo ninao wafollow
 
wadau tafadhali wanaojua jina la profile za instagram za celebrities wakibongo ingependeza mzichangie hapa mana mda mwengine majina yao ya instagram ni kazi kuyapata

kama umekosa cha kufanya ni pm nikuajili kukupiga magoli acha ufala akaunti za ig wafuate wenyewe uwaulize na kama wewe ni me basi juhudi za baba yako ni bora angezitumia kazini angefanikiwa!!!!!
 
Sasa jamani si kauliza? Hamjui kausheni .... Sio mnaanza kumwambia hana kazi
 
Wadau tafadhali wanaojua jina la profile za instagram za celebrities wakibongo ingependeza mzichangie hapa mana mda mwengine majina yao ya instagram ni kazi kuyapata
Kifesi
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom